Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa
Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao.
Pure evil bastards.
Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini.
Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti.
Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
Haya twende kazi,
1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.
2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.
3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
Unakuta mtu basi tu ni tako ndio limemuokoa kutoka bunyokwa ndani ndani huko sasa ana enjoy pesa za wanaume, ameshajisahau kabisa, hata akiona mtu anakula mlenda anajisikia kutapika sasa hivi😁 wakti ndio ilikuwaga menu yao
Eti demu anamuambia mshikaji mmoja hivi inakuwaje mbwa unampa makombwe...
Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani.
Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu.
Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha.
Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
Wakuu,
Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀
Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi.
Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde.
Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa...
In this life muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani. Usiwe msahulifu kwa watu waliowahi kukusaidia .
Kumbuka kile kipindi umekwama hauwezi , hauoni pakushika lakini alitokea fulani akakushika mkono , unapopata nafasi ya kulipa fadhila do it more
Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
Amani iwe nanyi!
Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate)
Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa.
Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa...
Vipi ukiona mtu amekaa ,utaenda kumwambia dada/kaka kaa vizuri ,na uchukulie kuna watu wengi ,mi nilimtazama nikamuashiria sa sijui akunifaamu,nikageuka na sikurudi tena mpa sheree zimeisha
To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary.
Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu.
Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli.
Mirrad ayo unatumika vibaya.
Nimeona kijana tajiri aliyekuwa na biashara kubwa akizikwa kiurahisi kabisa baada ya kufa ghafla.
Nikiwaza Ile fahari aliyokuwa nayo, nasema hapa duniani tuishi kwa upendo na unyenyekevu maana tunapita.
Tujikite katika kutenda haki.
1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye
2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO
3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.