Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia kama Kuna mtu utakuwa unamfahamu na hayupo humu basi waweza niunganisha naye PM ipo wazi,Ahsante.
Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
Usiseme natukana watu, soma mpaka mwisho utajua kwanini kichwa cha uzi kimeandikwa hivyo.
Katika mijadala na malumbano ya hoja hapa JF, kuna watu wengi waliojaa hasira vifuani mwao. Wanakasirishwa na maneno au vitendo vidogo vinavyoweza kuepukika.
Yafuatayo ni baadhi ya mambo madogo ambayo...
Ni miaka 15 sasa imepita tangu ninusurike kuuawa na walimwengu. Nilikuwa nikiishi Tabora, na jioni moja, nilikuwa natembea mjini Tabora. Wakati natembea, nikajihisi kubanwa haja ndogo, nikawa nakatiza mtaa wa Salimini. Kwa wale wenyeji wa Tabora, mnafahamu ule mtaa ulivyo wa Kiswahili...
Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro
Baada ya miezi...
Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
Habari wana JF ,natumaini mu wazima wa afya .
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu kuonekana wanachukuliwa kwa nguvu au kutekwa na kupotea kabisa .
Kubwa zaidi katika matukio hayo kunaonekana kikiwa na watu pembeni wakishuhudia matukio hayo huku muhusika akipambana peke...
kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu.
✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu wengine.
✍️ Kwahiyo kadri unapopata mwamko wako wa kiroho basi utauona huu ulimwengu ni mpya kwako...
Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake.
Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye.
Sasa sijui uyo aneongea nae...
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni
Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili.
Updates za vikosi vya timu...
Kutokana na mapenzi ya mtu ikiwa wampendaye akihama chama,akifa au kushindwa uchaguzi chama kitatetereka kutokana na kusujudu mtu na si katiba,misingi na itikadi. Hii ni kwa vyama vya upinzani lakini Ccm wao baadhi kujifanya wafuasi wa mtu ni kujipendekeza ili wapate teuzi na chakula na Ccm...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza zitumiwe na magari binafsi kwa kulipia.
Akizungumza leo Alhamisi Februari 13, 2025 mkoani kwenye...
Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia mbali na eneo la mdaiwa wako.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela, unajikuta unaanza kuandamwa na makesi ya...
Nashangaa wakati mwingine unaandika nyuzi ya kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.
Anyway, hivyo vibao viwaburudishe (mimi baadhi ya yale ya moyoni ambayo siwezi...
Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo.
Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana…
Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana mimi ni mchepuko wake
Oya kuna Kijana mmoja baada ya kuwa na kutokuelewana sana kati yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.