mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kama wabunge wangekuwa Elite wasingejibishana na Gen Z wa Kenya. Lakini wameonyesha ni daraja Moja. Mtu timamu hawezi kuwajibu na Gen Z wakenya

    Mpo salama! Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli! Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini? Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani? Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli? Nimesikitika Sana...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu aliacha Shule Darasa la 2 anataka kuwa Mbunge? Tutafakari vigezo vya kugombea Ubunge

    Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?” Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

    Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo? Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyejitoa tayari kwenye Uchaguzi anakuwaje Threat kwako. Kwanini uhangaike nae?

    Mshindani aliyejiondoa kwenye Uchaguzi ujao, kwa lugha ya kisasa mnasema "ameweka mpira kwapani" Yanini akusumbue.....kwanini usiachane nae? Kwasababu amekuwa si mshindani wako tena. Naomba niwe straight tu. CCM kwenye uchaguzi ujao ina mteremko.....nasema hivi nikiamini uchaguzi lazima...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  6. JamiiForums Tanzania Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

    Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri, #Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao, Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
  7. JamiiForums Tanzania Kila mtu anajua kupata lakini wangapi wanajua kujitoa?

    "KILA MTU ANATAKA KUPATA, LAKINI WANGAPI WANAJUA KUTOA?" Maudhui ya Post: Ni rahisi sana kusikia mtu anasema: “Natafuta connection... nisaidieni fursa... ntaanza biashara nikipata mtaji... nangoja mtu anielekeze njia...” Lakini ni wachache sana wanaojiuliza: "Mimi mwenyewe natoa nini kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Taa ya Mungu inayotumika kuchunguza yale yaliyomo kwenye moyo wa mtu

    Mit 20:27 SUV [27] Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake. Ukisikia unachunguzwa au unafuatiliwa nyendo zako zote, inaweza kukushtua na kukuongeza umakini katika kutembea kwako na kutenda kwako, wengine tunajua tunachunguzwa kila wakati kutokana na kazi zetu au...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ukifanya sana ngono unapoteza nuru usoni ?

    Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru . Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kujua kusoma na kuandika ndio sifa ya kitaaluma inayomtosha mtu kuwa Mbunge, katika Tanzania ya sasa?

    Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
  11. JamiiForums Tanzania Naonaga hapa vijana wanahaha wakiulizwa "thibitisha kama Mungu yupo". Mtu akikuuliza hivyo we mjibu "na wewe thibitisha kuwa Mungu hayupo"

    Its simple, Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
  12. JamiiForums Tanzania Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  13. JamiiForums Tanzania Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi

    Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi. Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Gwajima, anaweza fuata kiongozi au mtu mwingine maarufu ndani ya CCM kuja kukoleza moto kwa kuongea na waandishi wa habari

    Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani !

    Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani . Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode . MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na...
  17. JamiiForums Tanzania Kila mtu nchini ameichoka TANESCO.

    Kila anashangaa kwanini umeme lazima ukatike sila siku kuanzia mijini hadi vitongojini, hata baada ya kuambiwa bwawa la Nyerere linafanyakazi Sasa, mvua zinanyesha mabwawa yote yamejaa na Tanzania tuna umeme wa geai. Katikakatika hii inasababisha hasara kubwa sana kwa watumiaji hivyo kero...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

    Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
  19. JamiiForums Tanzania Mtu anaye tumia miwani inayoficha macho yake sio wa kumsikiliza

    Wafanyabiashara ambao wana macho yao au wenye miwani ya macho unaweza kupata ukweli. Ila hawa wa kuvaa miwani utazani wana turekodi sisi wakati tuna warekodi basi muwe mnapunguza kuwasikiliza.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mtu wa mauzo na masoko

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…