mtu

  1. S

    Kila mtu humu ndani atakufa

    Ndiyo, Kila mtu humu ndani atakufa. Msijisahau.
  2. Magori ndie Mtu kawaharibia sana Simba kwenye issue ya CAF,hamkumkanya huko nyuma mlikua mnamshangili sana leo kawaponza

    Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi? Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake. 1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema kuna Rushwa kelele kibao hadi akaenda mbqli kusema kuna wachezaji wakubwa ndani ya simba...
  3. M

    Wachina wamezagaa Kariakoo ila mtu yupo kimya, watetea haki za kibinadamu wamekuja Tz mtu kafoka nusu kulia

    Hiii kitu binafsi siielewi yani WACHINA wamekuja kuchota shilingi zetu na kupeleka kwao ila mtu hajatoka hadharani kuongea chochote ila WATETEA HAKI za binadamu wamekuja mara moja tu mtu katoka hadharani chapu na kuanza kufoka nusu atoe machozi. Kweli Tanzania Mungu atusaidie sana tuna safari...
  4. Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  5. U

    No reform no election inagusa kila mtu

    Wadau kuna baadhi ya machawa huwa wanadhani kusifia viongozi kwa manufaa yao binafsi hawawezi kupata madhara. Sasa machawa wa club ya Simba akina kisugu, mzaramo, mwijaku na wengine wanapaswa kuona kama taifa tumeshindwa kukarabati uwanja wa mkapa unakataaje ajenda ya no reforms no election...
  6. KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  7. Mtu wa Kwanza kukataa Madaraka akikataa kukubaliana na Uovu wa Wenzie Serikalini

    Mpango aliona haendani kabisa na Ukatili unaofanywa kwa watanganyika wenzie. Ameamua kujiweka pembeni kuepusha msongamano.
  8. Zitto Zuberi Kabwe: Yeyote atakayemsaidia Seth katika sakata la IPTL ataanguka naye

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo na mtaalamu wa uchumi, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa watu wote- ndani na nje ya Serikali wanaojihusisha au kupanga kumsaidia mfanyabiashara Harbinder Seth katika madai yanayohusiana na fedha za umma zilizotokana na sakata la IPTL na Akaunti ya...
  9. Kwa vijana wa CHADEMA – Chama kinamjenga mtu, si mtu kukijenga chama

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la baadhi ya vijana waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA kujiondoa au kuhama chama hicho kwa madai ya kubaguliwa, kupuuzwa au kutotendewa haki. Wengine wamelalamika kuwa juhudi zao hazitambuliwi, na hivyo kuamua kusaka hifadhi sehemu nyingine. Hata...
  10. Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu. Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa. Nina mashaka.
  11. Katiba iweke ulazima wa mtu kuoa/kuolewa, iwe ni uhaini kuishi bila mwenza

    Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga. Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
  12. PreGE2025 Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025. Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 3 ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa...
  13. Msaada kwa wajuzi wa Sheria

    Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda. Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa...
  14. Mjeshi kupigana na Mtu asiye na mafunzo, kutumia silaha kwa mtu asiye na silaha. Inabomoa heshima na hadhi ya Jeshi

    Habari za Sabato! Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno. Yanavua heshima. Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale. Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
  15. Sina kosa ila nimepewa barua kazini! Kuna mtu ananitakia mabaya? Nifanyeje sasa?

    Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua. Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto...
  16. PICHA: Jerry Silaa alivyopigwa busu na mkewe kabla ya kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
  17. Uchaguzi ni wa watanzania na wanayo haki ya kufanya mabadiliko yoyote pale panapohitajika huu sio uchaguzi wa samia wala wa mtu mmoja

    Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
  18. M

    PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

    Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kauli zake, Sangu...
  19. Kwa nini mtu akiingia chooni kujisaidia haja kubwa lazima ageuke aangalie alikotokea?

    Hili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
  20. Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…