mtu

  1. Sonko Bibo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heshima na zawadi ya kipekee kwako mtu wa aina yako hapa Jamii forum.

    Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal Ahsante.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyewahi kumpenda mtu mbabe, muaji, muonezi, mbaguzi, mfitini n.k hata kama huwa anakupa hela

    Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji, mbabe, mtesaji, muonezi, mchonganishi, mbaguzi, mfitinishi, hata kama anakupa hela kiasi gani, watakuchukia tu. Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa...
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mtu akishaona anakuweza, atakufanya anavyotaka.

    1. Wanamuweza Gwajima ndio maana wakafanya walioamua, ndiomaana hayakufanywa kwa mdhehebu mengine. 2. Wanaiweza CHADEMA ndio maana wakaamua kufanya maamuzi yao. 3. Wanawaweza Wananchi ndio maana wamefunga Twitter ila viongozi wanaitumia, 4.Kama wananchi wangekua na power, wabunge wangelua...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

    Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri zaidi... Kitabu cha Mwanzo 1:27 kinatufundisha kuwa "Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake." Ndio...
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anapambana sana kweli kweli lakini bado hatoboi? zipo sababu

    sababu nyingi kwa nini mtu anaweza kuwa anafanya kazi ambayo inaendana na nyota yake lakini bado hafanikiwi, hata baada ya miaka mingi. Hapa chini nitakueleza sababu kuu 7 zinazoweza kuzuia mafanikio, hata kama kazi inaendana na nyota: 1: Karma Kuna vipingamizi vya kiroho vinavyotokana na...
  6. Marry Diana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli, uwazi humuweka mtu huru

    Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya kujikuta nimesimama kutoka kariakoo kibaruani kwangu hadi nyumbani Kinyerezi. Leo kuna Jambo niulize...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo? Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni? Kumekuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya PF3 na uhai wa mtu kipi bora?

    Habari zenu? Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali kuchelewesha huduma, na wengine kupoteza maisha kabisa kwa kigezo cha kuhitajika PF3 kwanza. Kingine nawachana...
  9. Leejay49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

    Habari ya Jumatatu waungwana.. Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi.. Sasa buana huyu bidada alitongozwa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jeshi Letu la Polisi: Kama linashindwa kumpata Mtu anayejulikana, What are the chances kwa Wasiojulikana?

    Wanabodi Baada ya ile miamala ya account ya kigogo fulani kuvuja hadharani kwa mtindo wa whistleblower kule kwenye ile page ya kale kadada kamodo kakichaa cha kulee,japo ninakishukuru kwa whistleblowing, kwa akina sisi na public kuona miamala ya waajiriwa wetu nyeti wa kodi zetu na biashara...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli una njaa ila usikubali kila mtu akulishe kwani Utalishwa na sumu

    Uhitaji ni kama njaa huwa shauku inakuwa juu ya matokeo na kupoteza utulivu wa kuchunguza madhara na hilo wanalijua vizuri watu ambao wanataka kukupoteza. Mtu akitaka kukupoteza atasubiri pale ambapo uhitaji wako uko juu kwa sababu anajua fika utakossa utulivu na hapo ndipo atapenyeza chaguo...
  13. Palac

    JamiiForums Tanzania Usimkopeshe pesa mke wa mtu

    Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kufanya Naye biashara

    Nawasalimu...Natamani mwezi August nifungue biashara ya kuuza mafuta ya kupikia,mchele na karanga. Kama kuna mtu yupo mikoa au eneo linalozalisha hayo mazao tunaweza kujadiliana namna yakufanya biashara kw maslahi ya pande zote mbili kwani nataka Kwa bei ya shambani. Nipo Moshi Kingine: Hivi...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wanauwezo Wa Kumfanya Mtu Kuwa Maarufu Au Kumrudisha Kwenye Ukapuku

    Wasanii wengi wa kwetu na watu maarufu wanasahau kuwa Raia ndio waliowafikisha pale juu kwenye mafanikio na wala sio serikali wala Mwanasiasa yeyote. Nchi kama Marekani, Wananchi walichoma magari, wengine kuyaharibu na kadharika magari ya Elon Musk baada ya kuonekana anatumika vibaya kisiasa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema hakuna Chawa na Uchawa? Mbona Bavicha imepoa sana baada ya Mbowe kufeli uchaguzi wa Mwenyekiti?

    Nauliza tu kama utaratibu wa Madalali wa siasa yaani Chawa unatumika na huko Chadema Pale Lumumba hadi Lucas Mwashambwa ana Vichawa vyake na yeye mwenyewe ni Chawa daraja la v Nawatakia Sabato njema 😁🇹🇿
  17. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukoselewa sio wanao support serikali sio wanao support upinzani

    Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukosolewa sio wanao support serikali sio wanaosapoti upinzani ukijaribu kuweka hoja tofauti na upande wowote unaoga mvua ya matusi. Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu masuala ya kisiasa, kama hili la kufungiwa kwa...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini hekalu la Mungu lilijengwa na Mfalme Suleiman na tunajifunza nini kwa mtu wa hovyo kama huyu?

    Kwa mujibu wa ngano za Biblia na Quran, Mfalm Suleiman alikuwa na vipaji 666, wake 700, nyumba ndogo 300, na zaidi, alijenga hekalu lake au "nyumba ya Mungu" kana kwamba alikuwa Mungu au hapakuwa na watu safi wa kufanya kazi hii. Kwa uzinzi wake, tunajifunza nini? Je ilikuwaje Mungu...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

    Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata 'assets' zangu zilizokuwa zimeibwa na ajenti wa shetani(ibilisi). Ilikuwa hivi: Hivi majuzi, mimi na...
  20. Sigonella Island

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzini na mke au mume wa mtu

    Nimeshuhudia ndoa zikivunjika kwa tatizo la uzinifu baina ya mke au mume wa mtu. Na madhara makubwa huenda hasa kwa watoto ambao hawahusiki na kosa la mzazi mzinifu. Mzinifu wa kike unatakiwa utambue ukiachika sehemu za Siri zitaenda kuumia na kuchakaa zaidi huko mtaani kuliko hapo kwa mumeo...
Back
Top Bottom