Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu.
Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni aina ya after shave au shaving cream inawafanya wawe hivyo usoni?
Mimi usoni nina ndevu nyingi sana...