Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu
Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo .
Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule...