Habari za wakati huu wakubwa.
Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah.
Jinsi nilivyokutana naye
Mimi ni Fundi Rangi, gypsum board na skiming. Kama mnavyojua hizi kazi zetu siyo za kila...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao.
Nahitaji mpenzi wa kike tupendane.
Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo...
Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe.
Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana.
Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
Napata wakati mgumu kupokea shikamoo barabarani, kwakweli wataki niko teenager, sijui nilikuwa nachukuliaje nikisikia mtu anamiaka 25, 30 nk.
Napata mashaka kwamba hata miaka 40 na 50 itafika kiutani utani na nitaanza kuitwa mzee bila mimi kujua nimefikaje fikaje hapo!
Uliwezaje kukubaliana na...
Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu.
Mpaka sasa mzani wangu bado upo 50/50 verses za machizi wote nazielewa kiaina.
Sijui kwa nini hawa mataita huu mkwaju hawa...
Unakuta mtu mzima ana miaka 50+ lakini hajitambui yeye ni nani? Na anataka nini? Kwa umri wake na mbaya zaidi mtu mzima lakini ni jitu zima ovyo badirikeni ukishafika age fulani punguza vitu ambayo sio muhimu
Wee mwanaume. Kama:-
1. Una umri kati ya 53 - 56
2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu.
3. Umejitunza kiafya
4. Watoto wako wamejitegemea.
5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato.
6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku...
Habar wadau !!!
Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk
inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
Kuna umri ukiishafikia hutakiwi kuongea ovyo umri wa kuanzia miaka 55 na kuendelea unatakiwa usiongee vitu kwa kutafuta sifa kwenye jamii au watu waliokuzunguka jitahidi sana kuchunga kauli zako unazozitoa mwisho wa siku utaonekana ni mzee wa hovyo ni heri kijana wa hovyo kuliko mzee wa hovyo
Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
Hili swali najiuliza sana...?
Ni nani anayemjua mwanadamu kiasi kwamba akatuamulia dunia nzima tukasema.... Mtu ataendelea kuwa ni mtoto mpaka afikishe umri wa miaka 18.
Kiasi kwamba ile sheria ya ndoa inaruhusu mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea anaweza kufunga ndoa...hawa wanaharakati...
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya kila mwaka, maradhi hayo yataathiri uchumi wa familia na nguvukazi ya Taifa.
Profesa Janab ametoa...
Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.