mtu mzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Introvert Music

    Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

    Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie...
  2. digba sowey

    Kwa wanaojua protokali ni Sahihi mtu mwenye umri mkubwa kumsalimia mtu aliyemuzidi cheo (status), mkubwa kicheo?

    Wakuu habari za Muda huu? Naomba mwongozo juu ya yupi anayepaswa kumsalimia mwenzake ikiwa mmoja ana umri mkubwa kumliko bosi wake,mfano Mimi niwe na umri wa miaka 50 harafu bosi wangu ninaye mzidi umri awe na chini ya umri wangu,Je yupi anapaswa kutoa salamu ya shikamoo Kwa mwenzake...
  3. L

    Natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa

    Good morning every one! Niende kwenye mada moja kwa moja. Dear Wana JF napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa. My personal details. Jina : Langliguara Jinsia : male Kazi : Mfanyabiashara Elimu : MA Dini : Christian Umri : 38 Ninapoishi : Tanzania Kabila...
  4. Miss Natafuta

    Mfanyakazi wa ndani mtu mzima anahitaji kazi kwa Tsh. 150,000

    Mi mamaa mtu mzima anahitaji kazi Kulea wazee. Kuangalia mzazi aliejifungua n.k Yupo Dar. Kazi kazi za nyumbani. Mshahara uanzie 150,000 Ni mchapakazi. Hana mume wala watoto, sio msumbufu.
  5. W

    Ni kitu gani ambacho hujawahi kujua ni gharama hadi ulivyokuwa mtu mzima?

    Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
  6. realMamy

    Sio kila Mtu mzima ni muungwana Jamani

    Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka. Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake. Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani. Nini kinasababisha Jamani? Halafu unakuta ana watoto wakubwa tu lakini mambo anayofanya yanawafanya watoto...
  7. Q

    Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mchumba mtu mzima

    Ni kijana umri miaka 24 natafuta mchumba mwenye miaka kunizidi mm sihitaji watoto wa 2000 I need new experience if your interested kindly PM.
  8. haszu

    Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

    Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi. Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
  9. TUKANA UONE

    Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

    Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba! Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza...
  10. holy holm

    Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

    Habari za wakati huu wakubwa. Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah. Jinsi nilivyokutana naye Mimi ni Fundi Rangi, gypsum board na skiming. Kama mnavyojua hizi kazi zetu siyo za kila...
  11. A

    Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  12. G

    Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  13. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  14. S

    Nahitaji mke mtu mzima

    Nahitaji mke awe na umri kuanzia miaka 30 -48. Mimi nina umri wa miaka 44. Awe mkristo na mwenye kumcha Mungu. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
  15. majebsmafuru

    Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
  16. L

    Nahitaji mwanamke mtu mzima tuanze mahusiano

    Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha . Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa . Sifa: Awe tayari kupima na awe HIV negative Awe mkarimu Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake Awe muunimi wa kikristo...
  17. Oya Tusepe

    Je, unaweza kumbadili mtu mzima tabia?

    Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe. Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana. Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
  18. sanalii

    Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

    Napata wakati mgumu kupokea shikamoo barabarani, kwakweli wataki niko teenager, sijui nilikuwa nachukuliaje nikisikia mtu anamiaka 25, 30 nk. Napata mashaka kwamba hata miaka 40 na 50 itafika kiutani utani na nitaanza kuitwa mzee bila mimi kujua nimefikaje fikaje hapo! Uliwezaje kukubaliana na...
  19. peno hasegawa

    Umri wa mtu mzima ambao haruhusiwi kuolewa au kuoa ni upi

    Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?
Back
Top Bottom