Habari Doctors naomba msaada wenu,
Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana tatizo lolote.
Lakini mama yake ana mimba ya miezi nane sasa watu wananiambia wenda ikawa joto la...
Bado sijutii uamuzi niliofanya,
Hapo awali mtoto nilikuwa namlea kimayai huku nikijipa moyo sitaki apitie shida nilizopitia kumbe nilikuwa navuka mipaka kabisa ambayo haikuwa vema kwa mtoto,
Nikabadili malezi na kweli dhana yangu ya kutotaka mtoto asipate shida nilizopitia nliendelea nayo ila...
Yaan
Heb ngoja kwanza.
Niseme kwamba mimi bado nakula ujana.. sina hata mtoto wa kusingiziwa.. natarajia nifanye maamuzi ya kuwa na mtoto kuanzia mwakani labda...
Haijalishi wa kiume au wa kike.
Ila sasa, kwa niliyoyashuhudia leo wakati wa mchana nilitoka mara moja nikaelekea mahala fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.