Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau ambaye...
Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia.
Sasa...
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo.
Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo.
Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
Habari wanajamvi,
Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners??
Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu,
Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili.
Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025.
Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli.
Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga.
Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli
Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
Wadau habari ya wakati huu.
Mwaka jana nilikuwa Dar maeneo ya tabata kisukulu. Nilienda kumsalimia mjomba.
Katika moja ya maongezi alinieleza mjukuu wake mmoja ambaye hasikii sana na anatabia mbovu
Nilimuuliza nyie mmetulea sn kwa viboko na adhabu ndogondogo mpaka tumenyooka
Vipi huyu mjukuu...
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
Wazima humu?
Mimi huwa na utaratibu wa kutoka na mwanangu asubuhi kumpeleka shule kila siku na huwa natoka nae kuanzia saa moja huwa tunapanda bajaji au bodaboda, sasa leo tukiwa tunatembea kuona kama tutakutana na bajaji ili tupande ndo akapita jamaa na Rumion nyekundu akaniambia panda...
Habarini wana Jamvi.
Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto ilikuwa ni ajali kazini.
Nahudumia mtoto ina Bima hii mbovu mbovu ya NHIF nimemkatia ila katikati apa...
Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
Hbar wadau,
Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu
Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh
Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.