mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taja mtoto wa waziri, au Rais au MBUNGE aliywai kuwa na akili kama Maria Sarungi,huyu hapa kamtaja Makongoro Nyerere Wa NCCR mageuzi, Sasa yu wapi?

    Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi, Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992. Kiliacha akiwa na akili Sasa kitakuwa huru kesho sijui kitamwelewa Makongoro? Haya na wewe uliye...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Miaka 13 Adai Kupigwa Kikatili na Mwajiri Wake Kariakoo

    Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
  3. JamiiForums Tanzania KAMA UNALEA MTOTO WA KIUME WA SINGLE MAZA ANZA KUJIKOKI

    Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise atatunza kumbukumbu zote akija kujua ukweli umeisha. Ni bora wewe ukamwambia ukweli tu siyo baba yake...
  4. JamiiForums Tanzania Ubaya wa kuwa baba wa kambo ni kwamba kila ukimtazama mtoto wa mwenyewe ndani kwenu unaanza kukumbuka bao la mwanaume mwenzako

    Maisha ya kuwa baba wa kambo yanahitaji moyo wa chuma sana.umekaa zako sebuleni unakunywa zako chai kwa amani. Ghafla katoto kanakuja kakikimbia, kanakupanda mapajani na kukuita baba. Wewe unatabasamu kwa nje lakini ndani ya moyo kuna sauti ndogo inakuambia: "Moyo, kumbuka huyu mtoto ni...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wa Form V kuhamia Benjamin Mkapa High School

    Habarini wajuvi. Ninaomba msaada wa channel za binti yangu kuhamia Benjamin Mkapa High School kwa kidato cha 5. Binti amepangiwa Mpemba Sec huko Songwe. Natanguliza shukurani.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ulipata Mtoto wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    kwa wale mliojaaliwa kuwa na mtoto au watoto. Je, ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi ? Ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ? Swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka mingapi ? ( maana najua hapa wengi huwa wanapata alafu wanatoa )
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

    Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari. Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
  9. JamiiForums Tanzania Mzee akamatwa Kenya kwa kuoa mtoto, ajitetea na dini ya Kiislamu, asema ameona hata mtoto wa miaka tisa akiolewa

    Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kambarage Wasira akiomba kura kwa wabunge kumchagua kuwakilisha katika Bunge la EALA

    Kambarage Masatu Wasira akiomba kupigiwa kura za ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Mei 4, 2026 Bungeni Dodoma
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mugabe afukuzwa Afrika Kusini

    Mahakama Nchini Afrika Kusini imeamuru Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, Bellarmine Mugabe, kufukuzwa Nchini humo baada ya kukiri kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria pamoja na ukiukwaji wa taratibu za uhamiaji. Katika hukumu hiyo, Mahakama imeeleza kuwa Mugabe mwenye...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo kesi ya Lissu haijapangwa kusikilizwa! Hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa amedharau mahakama zetu

    Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa kupigania haki za watu duniani huku wao wakiingia katika historia ya watawala waovu na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtoto wa kiume miaka 33 upo Kwa wazazi unakula ugali wa shikamoo

    Hapa mtaani Kuna jamaa ni likubwa miaka 33 ila lipo nyumbani kwao linakula ugali wa shikamoo ubaya babayake analalaimika mtaani jamaa hataki kazi yeye kazi yake ni kubeti tu hivi huyu jamaa anaakaili timamu maana hata mtoto na mke Hana yeye kazi ni kushinda kijiweni na kurudi nyumbani kula hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kula nepi

    Tukio la kusikitisha limeripotiwa kutoka katika Jimbo la Indiana Nchini Marekani ambapo Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na hali mbaya ya malezi na ukosefu mkubwa wa chakula Nyumbani kwao, taarifa za awali zinaeleza kuwa Wazazi walikuwa wakiwanyima chakula Watoto wao hali...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four. Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu. Hawana changamoto yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania Kisa ni mtoto wa Rais ndo muagizaji wa mafuta nchini

    Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure? Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi Kwanini tusinunue...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fish Pond Mystery! Mtoto wa Miaka 3 Afariki Shuleni Drowning ama Kuna Kitu Kinafichwa?”

    A very disturbing incident imeibua maswali mengi sana after 3-year-old pupil Faiz Faraj tragically lost his life at Gilgil Hills Academy, Nakuru County. According to reports, the young boy alikuwa darasani kama kawaida until around 11AM when he was reported missing. Shockingly, saa mbili...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali inaboresha miundombinu ili Mtoto wa Kitanzania apate haki yake ya msingi ya elimu bora - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto wa kike kumfumania Mzee wake tena kwa yowee kuita watu washuhudie?

    Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake. Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…