mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

    Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu, Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine. Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi. Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu. siku...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  4. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mchungaji aliyeshtakiwa kwa kujaribu kulawiti mtoto afikishwa mahakamani

    Harold Gamalieli Mkaro ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Makedonia Lubaga Manispaa ya Shinyanga amesomewa shtaka la kujaribu kulawiti mtoto wa miaka 6 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga. Agosti 24, 2022 Mchungaji huyo alifutiwa kesi namba 107 na...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika ni ngumu mtoto wa maskini kuendeleza kipaji chake kwa support kutoka kwa baba yake

    Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

    Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali. Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kukaa mbali na mtoto

    Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza. Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtoto na Runinga, na je kuna sheria ya inayodhibiti Hilo?

    mtoto na runinga
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

    Mfanyabiashara, James Simbachawene (24) ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amehukumiwa kulipa faini ya sh. 250,000 na kufungiwa leseni yake ya udereva kwa miezi sita baada ya kukiri makosa matatu. Mtoto huyo amefikishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

    Mh Godbless Lema ambaye anatajwa pia kama miongoni mwa Manabii wa Mungu walioletwa Tanzania kwa makusudi Maalum , Amenukuliwa huko Twitter akipinga POLISI KUFANYA KAZI KWA MATAKWA YA SIMBACHAWENE . Mh Lema anadai mpaka sasa mtoto wa Simbachawene aliyedaiwa kudharau vyombo vya dola angali...
  14. JamiiForums Tanzania Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

    Siku moja baada ya kusambaa video inayomuonyesha mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akitoa lugha chafu mbele ya askari wa usalama barabarani, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria itafuata...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ngoma nzito! Ukraine yashutumiwa kwa mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin

    Urussi wameishutumu Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin nguli wa siasa za kijamaa ambaye ndiye anayeaminika kuchochea vita vya Ukraine, huyu mwamba kama humjui alishawahi kutamka Ukraine inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia ,USA wamempiga ban ya kuingia mataifa ya ulaya na...
  17. JamiiForums Tanzania Alinikataa alipokuwa hana mtoto, kazalishwa sasa hivi ni mwepesi

    Wanawake aisee Mungu awape hustahimilivu mkubwa sana na jicho la kuona mbali saaana, maana najua changamoto ya wanawake wanashindwa kuchagua mtu sahii wanajikuta wanachakazwa na wakware mbalimbali then wanaishiwa kutupwa au kuachwa. Ni binti flani wa mtaani kwetu kweli nilimpenda sana na...
  18. JamiiForums Tanzania USALAMA MITANDAONI: Unashiriki vipi katika matumizi ya Intaneti ya Mtoto wako?

    Kuwapa Watoto Mwongozo wanapotumia Majukwaa la Kidijitali ni njia mojawapo ya kudhibiti hatari za mtandaoni zinazoweza kusababishia madhara Kwa mujibu wa Shirika la UNICEF. inakadiriwa Mtoto Mmoja kati ya Watatu ni Mtumiaji wa Intaneti. Aidha, Mtumiaji wa Intaneti Mmoja kati wa Watatu ni Mtoto...
  19. JamiiForums Tanzania Njombe: Ashikiliwa na polisi kwa kumuua mtoto wa miaka saba akidhani ni ng'ombe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Mwanamke mmoja aitwaye Estaroda Kaduma (28) amkazi wa Kichiwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Kaka yake anayefahamika kwa jina la Brown James Kaduma (7) ambaye anasoma darasa la kwanza katika Shule ya msingi Kichiwa. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe...
  20. JamiiForums Tanzania Kujiona mtoto mdogo kumewafelisha wengi

    KUJIONA MTOTO MDOGO KUMEWAFELISHA WENGI! Anaandika, Robert Heriel. Yule Shahidi. Aliyekuambia miaka 20 ni mtoto ni Nani? Wakati kuna wenzako wamekuwa Wafalme, Marais, Mawaziri, na wapo wenye Wake na Watoto katika umri huohuo! Kuna kundi kubwa la watu lime-Relax kabisa Kwa kisingizio kuwa bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…