mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa ya kwanza ya Mama yenye rangi ya manjano ni hatari kwa mtoto

    Kumekuwa na mtazamo kuwa maziwa ya kwanza ambayo mama huyapata mara baada ya kujifungua si maziwa yafaayo kwa mtoto. kutokana na mtazamo huu wanawake wengine huyakamua na kuyamwaga mpaka yanapotoka maziwa ya rangi nyeupe.
  2. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Mtoto wa Masikini anapokosa Mkopo wa Elimu ya Juu

    Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa. Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni? Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga ameokotwa Madale

    Mtoto mchanga ameokotwa leo alfajiri, Novemba 02, 2022 akiwa hai, baada ya kutupwa katika maeneo ya Madale. Mtoto huyo anayedhaniwa kuzaliwa muda mfupi kabla ya kutupwa, amefikishwa kwenye zahanati ya Madale kwa matibabu zaidi. Chanzo: ITV
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

    Habari. Mtoto wa mwanamziki mashuhuri Davido Amefariki akiwa anaogelea Kwenye Swimming pool. RIP little Young. Music icon, David Adeleke aka Davido has sadly lost his first son, Ifeanyi David, he had with Chioma Rowland aka Chef Chi. Ifeanyi who only recently celebrated his 3rd birthday...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha. Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi. Nimekuwa nikiumiza...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Muigizaji Jackie Chan avaa fulana yenye picha ya Muhoozi Kainerugaba, mtoto wa Rais Museveni

    Muigizaji Jackie Chan ameonekana akiwa amevaa fulana yenye picha ya Muhoozi kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto kujifunza Kiingereza

    Ni kitu gani kitamsaidia mtoto kujifunza kingereza,je awe anaangalia tamthilia za kingereza zilizotafsiliwa,kusoma hadithi za kingereza au kuangalia katuni? Naomba pia kujua kama kuna kifaa ambacho kime include games tu maana hawa watoto wetu siku hizi wanapenda sana simu sasa simu sio nzuri...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mtoto kuzaliwa na upofu ni nini?

    Wakuu habari za mchana! Naamini huku katika jukwaa letu pendwa kuna watu wenye uweledi na ufahamu mkubwa, naomba mnijibu swali langu hili. "Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa na upofu? Je, kuna vitu fulani alivikosa wakati akiwa tumboni? Au mama alitumia vitu/dawa/vyakula/vinywaji ambavyo...
  9. JamiiForums Tanzania CCBRT walivyotatua tatizo la mtoto wangu la mdomo sungura

    hii ni kabla Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenu Ustawi wa Jamii, Mshughulikieni huyu mama, huu ni unyanyasaji kwa watoto

    Mama huyu ni mpumbavu sana, anaanzaje kumkatili mtoto kiasi hiki? Mtoto siku yake ya kuzaliwa ni siku ya furaha lakini kinachofanyika hapa ni tofauti kabisa. Mtoto anavutwa, anawekwa sakafuni kwa nguvu, anamwagiwa maji yabaridi na analia kwa nguvu kuonyesha kuchukizwa na kinachoendelea lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhressa na Mzee Bakhressa hiki ndicho kinaisibu Azam FC yenu kwa 99%

    1. Kuna wapigaji wengi. 2. Kuna wanafiki wengi. 3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi. 4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji. 5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza. 6. Ushirikina na kurogana sana. 7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

    Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu? Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni...
  13. JamiiForums Tanzania Nkasi: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba

    Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi: Hakuna wa kunipiga marufuku kwa chochote

    Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache tangu Rais Museveni ambaye ni baba yake kumuombea msamaha na kumtaka ajiondoe Twitter kutokana na kauli zake za kuliteka Jiji la Nairobi Akijibu mahojiano aliyofanya Rais Museveni na kituo cha TV cha KTN, Jenerali Muhozi kupitia Twitter ameandika...
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Museveni ana ajenda gani ya siri dhidi ya nchi za EAC?

    Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja...
  17. JamiiForums Tanzania Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto akiri Mahakamani kubakwa na baba yake ambaye ni Mchungaji wa Kanisa

    Nurdin Abdallah Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba...
  19. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo miaka mitano kwa kumchoma mikono mtoto wake

    Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14. Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nipo nasikiliza kipindi cha watoto, kuna mtoto kaimba wimbo wa Fire wa Zuchu

    Ni hizi redio za mikoani kwenye kipindi cha watoto, leo kwenye kipengele cha vipaji kuna katoto kameimba huu wimbo, kamekariri vizuri kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…