mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Mafinga: Mtoto abakwa akitokea Kanisani

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamtafuta Yogi Mtavangu, Mkazi wa Mafinga wilayani Mufindi kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa Mtaa wa Osterbay-Machinjioni, wakati akitokea kanisani kwenye ibada. Tukio hilo limetokea wakati dunia ikiwa katika maadhimisho ya siku 16 za...
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Wakuu Msaada. Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo. Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu. Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto...
  5. JamiiForums Tanzania Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

    Kuna mtaa huko Tandika maeneo ya Davis corner hatari. Sehemu za nyuma mabinti wanauza mpaka kwa sh. Elfu 1. Yaani ile afutatu unapata mademu 3 unawafanya sehemu za nyuma . Serikali iwaondoe Mijini vijana wote wa kike na kiume wasio na kazi rasmi. Iwapeleke kwenye mashamba maalumu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Angola: Serikali yaidhinisha kukamatwa mtoto wa Rais wa zamani, Dos Santos

    Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kumlinda sana mtoto (overprotective) ni kumlemaza na kumjengea mazingira magumu kwenye maisha yake ya kujitegemea

    Njia nzuri ya kumlinda mtoto ni kumkomaza ajue kukabiliana na maisha pale atapoanza kujitegemea ama ukitoweka kwa kifo na ulinzi wako kwake ukawa haupo tena. Sina maana ya kusema mtoto umlee maisha magumu tu, NO! Njia sahihi ni kumlea kivugu vugu, raha azijue na shida nazo ajue namna ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Malecela Le Mutuz amvaa January Makamba na Tanesco yake

    Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme. '....unarushaje live mikutano ya mama ili hali...
  9. JamiiForums Tanzania Top 5 ya makundi yanayoongoza kumnyanyasa mwanamke na mtoto japo yanajua kujificha

    TAMWA wanatafsiri Ukatili wa kijinsia kuwa ni kitendo anachofanyiwa mtu yeyote mwanamke au mwanaume kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Hata hivyo tafiti nyingi zimeonyesha kwamba wanawake ndiyo wahanga wakuu wa ukatili wa kijinsia. Tukimjadili...
  10. JamiiForums Tanzania Tabia hizi za jamii kwa mtoto mdogo(mchanga) zinaleta sintofahamu

    Wasalaam...! Ni muda mwingine tena natoka kwenye majukumu yangu ya siku na kuingia nyumbani ila mwanamke ananipokea na kunitaarifu kuwa kuna mgeni, rafiki yangu wa zamani kapita kunijulia hali,basi napitia sebuleni... ile kufika sebuleni namuona rafiki yangu kambeba mtoto wangu na kaingiza...
  11. JamiiForums Tanzania Nansio-Ukerewe: Mtoto aganda Mkono Hewani baada ya Kumpiga Mbwa na Jiwe

    Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda. Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara...
  12. JamiiForums Tanzania Ukimya wa mwanaume unampa mashaka mwanamke juu ya baba halali wa mtoto

    Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi: Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini. Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
  13. JamiiForums Tanzania Geita: Mahakama yawaachia huru waliodaiwa kumtoa kafara mtoto ili wachimbe Dhahabu

    Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo. Washtakiwa hao ni Ngeke Lunemhya, Mwajuma Petro, Ngeke Lunemhya na Maria Faida ambao wote ni ndugu. Watuhumiwa hao...
  14. JamiiForums Tanzania Songwe: Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu 3 akiwemo Mchungaji Julius Mwasimba baba mzazi wa marehemu na watoto wake Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba. Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema ndugu hao walimfungia mgonjwa na kuanza maombi kwa siku 3 lakini baadaye waligundua...
  15. JamiiForums Tanzania Leo ni 'Siku ya Bilioni 8', mtoto anayezaliwa popote duniani anaweka rekodi ya watu Bilioni 8

    Leo Novemba 15, 2022, idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia watu Bilioni 8, ambayo ni hatua muhimu katika maendeleo ya binadamu. Ukuaji huu ambao haujawahi kushuhudiwa unatokana na ongezeko la taratibu la maisha ya binadamu kutokana na kuboreshwa kwa afya ya umma, lishe, usafi wa kibinafsi...
  16. JamiiForums Tanzania Iringa: Afungwa jela miaka mitatu kwa kumchoma mikono mtoto wa kambo

    Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Edward Uphoro ametoa adhabu kwa mshtakiwa Bruce Karistus aliyekiri kutenda kosa hilo dhidi ya mtoto wake wa kufikia. Kwa mujibu wa Mashtaka imeelezwa kuwa Oktoba 21, 2022 Karistus alimjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mtoto mwenye miaka...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpa wanafunzi au mwanao Elimu ya Afya na uzazi wa mpango?

    Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana. Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 8 aomba kazi apate pesa ya kutimiza malengo yake

    8-year-old boy applies for restaurant job to buy Xbox Nash Johnson applied to be a dishwasher at Drake's in Kentucky, (Credit: Drake's) LEXINGTON, Ky. - At only 8 years old, Nash Johnson knows the value of hard work and its rewards. This is why he had no problem applying for a job as a...
  19. JamiiForums Tanzania Lishe ya mtoto baada ya kufikisha umri wa miezi 6

    Mtoto akifikisha miezi 6 unaweza kuanza kumpatia vyakula vingine kidogo kidogo. Mtoto akianza kupewa vyakula nje ya maziwa mapema kabla ya miezi 6 ni hatari kwa afya yake maana mfumo wake wa kusaga chakula unakuwa bado haujawa tayari. Aidha, huongeza hatari ya kupatwa na udumavu/utapiamlo...
  20. JamiiForums Tanzania Una mtoto wa nje? Wahi hapa!

    Habari wana JF, tumaini langu mnaendelea vyema. Chapu tushuke kwenye mada. Ni jambo la furaha kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mtu ulievutiwa nae katika mazingira yoyote na kwa lengo lolote liwe la ndoa au lah! danga and run /eat and run)). Ni jambo la huzuni sana pale kwa pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…