Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
8,859
23,102
Kuna mtaa huko Tandika maeneo ya Davis corner hatari.

Sehemu za nyuma mabinti wanauza mpaka kwa sh. Elfu 1. Yaani ile afutatu unapata mademu 3 unawafanya sehemu za nyuma .

Serikali iwaondoe Mijini vijana wote wa kike na kiume wasio na kazi rasmi.

Iwapeleke kwenye mashamba maalumu ya kimkakati. Uhitaji wa chakula barani Afrika na duniani bado ni mkubwa.

Tumeshindwa kwenye Sayansi na teknolojia ili kukuza viwanda basi tujikite kwenye kilimo ambacho hakihitaji utaalamu wa juu sana.

Hawa mabinti wanaouza kwa elfu moja na vijana wanaobeti kisha wakipata pesa wanaenda kuzini wahamishwe Mijini.

Kila kijana akipewa ekari 2 vitendea kazi na ruzuku ya mbolea pamoja na pesa ya kula awapo shambani bila kusahau kuwaajiri maafisa ugani ambao watakuwa wanapita shamba hadi shamba.

Nchi itasonga mbele, vijana watasonga mbele.

Wawekezaji wataweka viwanda nchini wakiwa na uhakika wa malighafi.

Fedha za kununua ndege 4 tu za abiria zingechepushwa kwa kuanzisha mashamba ya kimkakati taifa hili lingemiliki soko la chakula barani Afrika.
 
luchelele mzunguko

JF-Expert Member
Feb 12, 2021
1,103
1,323

Mkuu tigo kwa buku kweli?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Showmax

JF-Expert Member
Nov 18, 2022
3,146
5,197
Umalaya ni mtu kukumbwa na roho chafu au kuuza nafsi yako kwa shetani na sio sababu ya ugumu wa maisha.

Malaya hata umpe mtaji wa milioni 30 zitaisha baada ya miezi 3 na ataendelea kuuza. Ni Sawa na kibaka au mwizi hata umpe milioni 100 zitaisha kwenye starehe ataendelea na wizi.

Hayo ni ishu ya maadili zaidi na sio umasikini. Pana watu Wana maisha magumu zaidi yao lakini awajiuzi wala awaibi sababu ile roho ya wizi au umalaya haijawavaa. Malaya, vibaka waache visingizio kufanya uhalifu kwa sababu ya ugumu wa maisha.
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,844
7,733
Wazo lako zuri kuwapeleka shambani ila tukiwapeka tu shambani wanaharakati wa keyboard wataanza ooh haki za bianadamu tena kule space mijadaala itapamba moto mda huu wapo mtaani wanatinduana tigo rusha hawapigi kelele jinsi ya kuwasaidia ila serikali ikingikia kati utaona watakavyo charuka so acha hudumiane tu
 
50 Reactions
Reply
Top Bottom