mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sababu zinazopelekea vifo vya mama na mtoto na nini kifanyike kuzuia vifo vya mama na mtoto nchini

    SABABU ZINAZOPELEKEA VIFO VYA MAMA NA MTOTO NCHINI 1 ukosefu wa wataalamu wa afya wa kutosha . 2, ukosefu wa vifaa tiba .3 uzembe wa baadhi ya watumishi wakiwa eneo lao la kazi . 4 , upungufu wa vituo vya afya . 5 baadh ya watumishi kukosa wito katika kazi .6 jamii kukosa elimu kuhusu afya...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinafanya umfungulie mtoto akaunti kwenye mitandao ya kijamii?

    Habari Wakuu, Naamini wengi sio wageni na akaunti za watoto kwenye mitandao ya kijamii kama vile Instagram, Facebook, TikTok na kadhalika. Akaunti hizi zinazofunguliwa na wazazi/walezi zimekuwa zikisimamiwa na wazazi wenyewe mara nyingi, na mara chache mtoto anaachiwa kuendesha account hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Haya sio malezi kwa mtoto

    Hellow african Wiki iliopita nilikuwa arusha uko nazulula nilipofikia kulikuwa na mtoto mdogo wa miaka minne mtoto anapenda simu hatari akaomba simu yangu nikamwambia no watot amchezei simu nenda kamwambie mama akupe chakula ule ulale kesho shule Duh mama yake akaja mpe achezee ataanza...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi unapima mtoto 'DNA' ili iweje?

    Wakuu Salam, Kuna ndugu yangu ananiomba ushauri kwamba mke wake amejifungua ila anahisi mtoto si wake, hivyo anataka kupima DNA ili ukwel ujulikane. Nimemwambia kama utani, kwamba wewe unajua vip kwamba baba ako ndio ni baba yako kweli? Angepima DNA ingekuwaje, jamaa kaniletea blah blah za...
  6. JamiiForums Tanzania Nyonga ya Mama kukosa uwiano na kichwa cha mtoto wakati wa kujifungua

    Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya nyonga ya mama kupitia njia ya uzazi kutokana na fupanyonga iliyobana au yenye umbo lisilo la...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alivyomkaribisha mtoto wa miaka 8 kukalia kiti cha Rais

    Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais). Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  9. JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Nipo single na sijafanikiwa kupata mtoto

    Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi. My take: Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
  10. JamiiForums Tanzania Anakorogea uji wa vitumbua na mkono wa mtoto aliyekufa

    Kwema wazee. Yule Mama alikuwa muuza vitumbua, alikuwa maarufu Kwa vitumbua vyake kwani vilikuwa vitamu sana. Kwa siku alikuwa anauza ndoo Mbili. Zikaja Stori kuwa Yule Bi.mkubwa ni mlozi, kikagula, jichawi lililoshindikana. Bado nakumbuka, wakaitwa Wale watoa Uchawi, Kwa mliokuwepo enzi hizo...
  11. JamiiForums Tanzania Rosa Ree atangaza kupata Mtoto

    Nyota wa Muziki wa Hip Hop na mshindi wa Tuzo ya Msanii Bora wa Hip Hop kupitia Tuzo za TMA, Rosa Ree amepata mtoto. Taarifa hiyo ameithibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram.
  12. JamiiForums Tanzania Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    ~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele > ~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu> ~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja> ~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli> ~udereva < wanaogopa ajari > ~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi> ~kilimo hakilipi...
  14. JamiiForums Tanzania Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

    Wanaume siku hizi tumekuwa wazuri hadi tunawazidi wanawake.
  15. JamiiForums Tanzania Mtwara: Madaktari wafanikiwa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto

    JOPO la Madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kusini, Mtwara wamefanya upasuaji wa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto wa miaka tisa kwa mafanikio makubwa baada ya kutumia vifaa vya kisasa kufanya uchunguzi na kubaini tatizo hilo. Akizungumza Kwa njia ya simu na chombo kimoja cha habari...
  16. JamiiForums Tanzania Robert De Niro amepata mtoto wake wa saba akiwa na umri wa miaka 79

    Robert De Niro ni mwenye asili ya Italia ingawa alizaliwa katika kitongoji cha Manhattan, New York City. alizalwa mwaka 1943. Kwa sasa anafanya shughuli zake uigizaji Hollywood nchini Marekani. Moja ya sinema alizocheza na kuapata umaarufu mkubwa inaitwa Casino iliyotoka mwaka 1995.
  17. JamiiForums Tanzania Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na ugonjwa wa Homa ya mapafu kwa Mtoto

    Mtoto mwenye homa ya mapafu (pneumonia) ambayo haijatibiwa inaweza kusababisha jipu kwenye mapafu (Abscess formation), utiririshaji wa usaha au maji kwenye mapafu (empyema), kuanguka kwa mapafu (atelectasis) ambapo hutokea wakati hewa inatoka kwenye mapafu, kisha hewa hujaza nafasi nje ya pafu...
  18. JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi, unatumia njia ngani kumrekebisha Mtoto bila kuathiri Afya yake ya Akili?

    Mzazi ana Jukumu muhimu sana katika Kumlea na Kumkuza Binadamu bora wa kizazi cha baadaye. Kupitia Malezi hayo, Mzazi anapaswa kumsaidia Mtoto Kukua na kuwa mwenye Afya Njema, Furaha na Anayejiamini. Tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Watu wazima waliopitia Unyanyasaji wa aina yoyote katika...
  19. JamiiForums Tanzania Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  20. JamiiForums Tanzania Rushwa Wodi za Uzazi katika baadhi ya Hospitali za Serikali zinahatarisha usalama wa mama na mtoto

    Wanawake wengi wanaoenda kujifungulia katika Hospitali za serikali wamekuwa wakilalamika juu ya kuombwa rushwa na manesi wakati wa kujifungua ili wapate huduma nzuri. Wamama wengi ambao walikwisha kupata huduma ya kujifungua katika Hospitali za serikali au vituo vya afya wamesema kuwa ili upate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…