Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 4,722
- 14,248
Wakuu Salam,
Kuna ndugu yangu ananiomba ushauri kwamba mke wake amejifungua ila anahisi mtoto si wake, hivyo anataka kupima DNA ili ukwel ujulikane.
Nimemwambia kama utani, kwamba wewe unajua vip kwamba baba ako ndio ni baba yako kweli?
Angepima DNA ingekuwaje, jamaa kaniletea blah blah za Habari ya vitabu vya dini, nikaudhika sana.
Nimemwambia kuliko amdhalilishe mtoto hivyo amlete kwangu nitalea bure, ila asikae aulize chochote kuhusu huyo mtoto.
Nimeamini waafrica dini zimewapoteza sana, kwamba aidha hawaelewi mafundisho au na walimu wa dini hawajui kitu wanachofundisha.
Kuna kabila moja mkoa wa Mara hawakatai watoto na watoto wakizaliwa ni wakwako... sasa sijui huu Usasa unatoka wapi.
Nataka niwashaur wanaume wenzangu, wewe ni provider tu, kwenye mahusiano ya familia, na ndio maana watoto wakikua kila mtu anachukua time zake na nyie mnabak wenyewe.
Kingine, watoto sio mali kama nyumba au gari au pesa kwamba unaweza miliki na kwamba the property is yours for use.
Na ndio maana huwez na wala huhitajiki popote kuthubitsha kama mzaz ni wako au sio wako.
Ndugu zangu waafrika na hasa vijana, acheni huu ushamba wa kutaka kutesa watoto wasio na dhambi kwa taamaa zenu za kudhan watoto ni kitu cha mchezo... nileteeni nitawaelea.
Sasa swali langu, unataka kupima mtoto DNA ili iweje? Hujasikia watoto wakiwakataa wazaz wao hadharani? Tena wamefanana kama mayai?
Kuna wazir mmoja kipindi cha mwendazake alisema sisi ni social fathers tu...... na mimi nakubali.
Huyu ndugu yangu asiponikisikliza mawasilano na mimi ndio kwisha kabisa.