mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    WANA JAMVI HABARI ZENU! Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!! TUANZIE HAPA. Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha sita na wakat nipo mtaan nilianzisha mahusiano na dada mmoja hv aliyekua mjasiriamali mzuri 2...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba Aongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti Duniani, Agawa majiko ya Gesi, Aiomba Serikali Iongeze Likizo Mama Aliyejifungua Mtoto Njiti

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AONGOZA MAADHIMISHO YA MTOTO NJITI DUNIANI, AGAWA MAJIKO YA GESI, AIOMBA SERIKALI IONGEZE LIKIZO MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO NJITI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba ameongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti duniani katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  3. JamiiForums Tanzania Simiyu: Afisa Ustawi, Mwalimu wakwamisha tena kesi ya Askari kudaiwa kumpiga hadi kumjeruhi mtoto wake

    Kesi ya Jinai Namba 59, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake (07), jana imeshindwa kuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi baada ya Mashahidi upande wa Mashtaka...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa tatu wa Osama bin Laden anaishi huru Ufaransa wakati mtoto wa kwanza anaishi bila passport Saudi Arabia

    Wazungu wana uungwana mwingi sana maana Omar bin Laden, anaishi kwa uhuru kule Normandy Ufaransa. Omar bin Laden Wakati mtoto wa kwanza, Abdallah bin Laden anaishi Saudi Arabia na haruhusiwi kwenda popote. Abdallah bin Laden
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpa mtoto Chakula na Sehemu ya kuishi hiyo haitoshi wewe kuwa Baba au Mama

    Unapokuwa na Familia Usiseme Kazi yako ni kuwapa Chakula tu na Sehemu ya kulala. Unapoitwa Baba au Mama Lengo kubwa sio kumpa mtoto Chakula au Sehemu ya kulala , Maana kila mtu anaweza kufanya hivyo. Unapokuwa na Familia tenga Muda wa kumjenga mtoto wako kumpatia MAARIFA ya kumjenga Kama...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wazaa Mtoto Mzungu aliyethibitika ni wao japo baba na mama ni Weusi

    In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”. When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was, “speechless.” “She's a miracle baby,” the 35-year-old mother said, “But still, what on...
  7. JamiiForums Tanzania Aliyebuni hili Tangazo la Mama mwenye Mtoto Mgonjwa ndani ya DalaDala Buza - Kawe alitumia Akili zake sawa sawa kweli?

    Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari...
  8. JamiiForums Tanzania Madaktari Muhimbili wamtoa mtoto kipande cha plastiki kwenye mapafu alichoishi nacho miezi 23

    Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kutoa kipande cha plastiki kwenye pafu la kushoto la mtoto mwenye umri wa miaka 11, kupitia kifaa maalumu kinachoitwa Flexible Bronchoscopy. Kifaa hicho kinatumia mpira laini wenye kamera ya uchunguzi wa mapafu bila kuhitaji mgojwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mtoto akianza kubeba vyuma vizito vya mazoezi anadumaa

    Wakuu kwema? Niko na swali hili, nilisikia watu wakizungumza kuwa mtoto akianza kubeba vyuma vya mazoezi anadumaa, yaani anaacha kurefuka na kuishia kuwa na umbo lile lile la mtoto (anadumaa). Kuna ukweli wowote katika hili?
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke unajisikiaje unapobambikiza mtoto kwa baba tofauti?

    Tabia ya kubambikizia akina baba watoto wasio wao imeendelea kushamiri miongoni mwa akina mama. Swali langu kwenu, mnakuwaje na amani katika maisha yenu kwa kukaa na siri kuu namna hiyo? Unakuta wengine wamekuwa walokole au wanaenda kuungama, je dhambi hii mnaiungama pia? Na kama mnaiungama, je...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada mtoto ameweka BBE machoni

    Naomba msaada huduma ya kwanza ni ipi. Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ameweka BBE machoni pale, sasa kabla hajapelekwa hospital amesafishwa kwa maji macho yake. Je, wana JF kuna kitu Kingine cha kufanya? Msaada tafadhali
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kienyeji ya mtoto mchanga mwenye mafua

    Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji) Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua. Fanya kitu kimoja: Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
  13. JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

    Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto. Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama. Lakini kiuhalisi ni...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tohara hupunguza ukubwa wa sehemu za siri za mwanamme

    Wataalamu wa afya huelezea umuhimu na faida za kufanyika kwa tendo hili kwa wanaume. Baadhi ya sehemu wanaume huwa hawatahiriwi kabisa, na wengine wanaotahiri husubiri hadi mtoto afikishe walau miaka 12 ndipo afanyiwe tendo hilo kwa uoga wa kupunguza ukubwa wa viungo hivyo. Madai haya...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto akilelewa na Mama pekee au upande wa Mamaake apewe majina ya Ukoo wa mamaake

    MTOTO AKILELEWA NA MAMA PEKEE AU UPANDE WA MAMAAKE APEWE MAJINA YA UKOO WA MAMAAKE. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Nawaamrisha Binti wote wa Tibeli, Wajomba, na Babu na Bibi ambao binti zenu walizaa watoto kisha wakatelekezwa, wakaachwa, na Baba zao. Mkawalea ninyi wenyewe. Huku Baba zao...
  16. JamiiForums Tanzania Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    𝐋𝐞𝐨 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚. 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚𝐤𝐰𝐞𝐢𝐭𝐢𝐫𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐞𝐚𝐝𝐦𝐚𝐬𝐭𝐞𝐫 S𝐚𝐦𝐞 Sec 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐍𝐲𝐞𝐫𝐞𝐫𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 nyumbani 𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐞 𝐦𝐳𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐃𝐂. M𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐃𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐑𝐂, 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐑𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐮𝐲𝐮. B𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚...
  17. JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  18. JamiiForums Tanzania Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi. Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Nguo za Awali mtoto mchanga

    Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…