mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuvuka mtihani wa Uwakili ni balaa LST

    Wakuu Katika mtihani uliofanywa mwaka huu Pale Law School Tanzania na Wanafunzi 633, wanafunzi 26 pekee wamefaulu Kwa Maana ya first seating Wanafunzi Wengi mwaka huu wamefail sana katika Shule kuu ya Sheria [Law School]. Wadau wanalalamikia mifumo wakitaka uchunguzi ufanyike. PIA uongozi wa...
  2. Kitu gani huwezi kusahau siku ambayo ulikua unafanya mtihani wa Darasa la Saba? Ndani na nje ya chumba cha mtihani

    Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania mkeka. Ilikua hivi, mtihani wa hesabu. Boni alikua mzuri kwenye hesabu hivyo Hasani akawa anakopi...
  3. Elimu ya Uzazi wa Mpango bado ni mtihani mgumu kwa Watanzania (World Contraception Day)

    Kupata Mtoto ni kitu kizuri sana na binadamu wengi wanaishi wakiwa na ndoto hiyo, lakini ni vizuri kiumbe huyo akija wakati muafaka. Ujio wa mimba wakati huo ukiwa na mtoto mwingine mchanga au katika mazingira ambayo hujajipanga kiuchumi kuhudumia ujio mpya huwa ni mtihani kiafya na kiuchumi...
  4. Usalili wa TA INFORMATION SYSTEMS IFM

    Wale wadau wa IT em tusaidiane mawazo jana nilifanikiwa kufanya mtihani wa TA information systems IFM lakini cha kunishangaza nilikutana na pepa ya system administrator...mpaka kuna swali 1 linasema as system administrator ......je hili ni sahihi? Au ni uhuni wa utumishi ktk kuendesha michakato...
  5. Kuoa mke aliesoma chuo huku akiendelea kuomba ajira ni mtihani, umejipangaje siku akipata ajira nje ya mkoa??

    Kuwaoa hawa wanawake waliomaliza vyuo katika taaluma mbali mbali kunaweza kuleta mabadiliko ndani ya ndoa mda wowote ikija tokea wameomba kazi hasa hizi za serikalini na wakaitwa rasmi waanze kazi, na kiukweli hawa wahitimu wa vyuo huwa wana mzuka sana na hizi ajira lazima ataenda tu kuripoti...
  6. M

    Nimeitwa kweny usaili DUCE ila sijapewa namba ya mtihani.

    Samahani nimeitwa kwenye usaili ambao utafanyika tarehe 14/09/2022 chuo cha DUCE, Kwenye tangazo la walioitwa kwenye usaili nipo kwenye nafasi nne nilizoomba ila mpaka muda huu kwenye akaunti yangu ya ajira portal sijaandikiwa namba ya mtihani nimejaribu kuwapigia lakini simu zao hazipokelewi...
  7. Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

    Mwanafunzi aliyelisti hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo
  8. SoC02 Mtihani wa darasa la saba kisiwe kipimo cha mwisho cha uwezo wa akili kwenye elimu

    Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na umri mdogo. Kwa hiyo wengi wao wanakuwa hawajatambua ni njia gani watumie katika kusoma ili kufanya...
  9. M

    Wazo duni? Rais Samia atayaweza mengine, Muungano mtihani kwake

    Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
  10. Kulipa deni ni mtihani

    Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...
  11. M

    Kongole Yanga kwa kuushinda mtihani wa kwanza point 6 ngumu

    Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi ikambidi asafiri km nyingi kwenda arusha jumatatu na kucheza jumanne kwenye mechi ngumu dhidi ya...
  12. Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

    Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro nyingi kama hizi;- 1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
  13. Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  14. M

    KWELI Posho za wasimamizi wa mtihani wa Kidato cha nne hutofautiana kulingana na idadi ya siku walizosimamia

    Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa. Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
  15. Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM Economics D Geography E Mathematics E Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting ila kulinga na TCU siwez kusoma tena Naombeni ushauri wenu nirudie mtihani, niende diploma au...
  16. NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2022

    Watahiniwa 93,136 (98.97%) wamefaulu Mitihani yao, ikielezwa Wasichana ni 40,907 na Wavulana ni 52,229. Aidha, Baraza la Mitihani (NECTA) limesema jumla ya Watahiniwa 83,877 (99.24%) wamefaulu katika Daraja 1 hadi 3 Ufaulu katika Masomo ya Historia, Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Physics...
  17. Kilimo cha nyanya Tanzania sasa ni mtihani

    Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja. Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
  18. Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
  19. P

    Busara za Myles Munroe na mtihani wa wanasiasa wa Kitanzania haswa Marais wetu

    Nimeitazama video moja ya hayati mchungaji Myles Munroe akiwaongelea wanasiasa wa dunia hii. Nikatamani hawa wa kwetu waisikilize ili waondoke na chochote kitu kitakachowasaidia katika wito wao wa siasa. Ni video yenye kutafakarisha kwa kina juu ya maisha mazima ya mwanasiasa. Anasema kwamba...
  20. Steven Gerrad na mtihani wa kumsaidia klop kuboresha CV yake

    Mechi za mwisho za epl ,man City yupo na Aston vila ya Steven Gerrad. Kama tujuavyo Gerrad ni legend wa Liverpool mwenye kiapo Cha damu hivyo atataka kiisaidia timu yake japo hata kwa kupata droo tu . Jee unaiona Nguvu ya Gerrad na Coutinho kuisaidia Liverpool?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…