Salaam Wanajamiiforum!
Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini.
Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...