mti

MTI Consulting is an international management consultancy with operations in Middle-East, Americas, Europe, Asia and Far-East. MTI Consulting was founded in 1997 with its headquarters in Bahrain. MTI Consulting has worked on 650 client-specific projects in 43 countries across 5 continents.
This includes assignments on Strategic Planning, Re-Structuring, Process Re-Engineering, Marketing (covers Branding, Channels, Sales,Service), International Market Entry, market intelligence, Human Resources Management and Web / Technology Optimization.

View More On Wikipedia.org
  1. UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  2. Kaleta tamaa, nilimwambia aishie kwenye mti tuu

    Huyu dada kaleta tamaa sana leo, tulishaelewana kua akifika kwenye bustani yangu atacheza kwenye mti/shina tuu lakini hatagusa mengine. Dada huyu wa kienyeji anaesomea course ya sekretari ameleta tamaa, alipomwaga asali kwenye mti wangu, ameenda kinyume na makubaliano, badala ya kuchezea mti...
  3. Huu mti unaitwaje kwa kiswahili. Msaada tafadhari

    Markhamia lutea
  4. Wale waliopanda mti uitwao MDODOMA nyumbani, nisaidieni experience juu ya huu mti

    Wengine huiita trichilia emetica. Changamoto za wadudu, matawi kudondoka, mbegu kudondoka, kuhifadhi popo, etc Karibuni
  5. 🌍 Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda

    Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda Katika ardhi nzuri iitwayo Tanzania, yenye milima inayogusa mawingu na mito inayobeba nyimbo za jadi, ulisimama Mti Mkuu uliowakilisha taifa. Mizizi yake ilitanda hadi ndani ya historia ya Uhuru, ikagusana na mifupa ya mashujaa waliopigania heshima ya ardhi hii...
  6. C

    Mbao za Mti pori

    Kama unahitaji Mbao Ngumu za mti pori kwa jumla na rejareja karibu tukuhudumie tunazo za kutosha size ni 2x10x10. Piga number 0767549000.karibuni
  7. Watu huja na kuondoka, utabaki wewe na Familia yako, hata Mti huchipusha nà kupukutisha, Using'ang'anie Watu

    WATU HUJA NA KUONDOKA, UTABAKI WEWE NA FAMILIA YAKO. HATA MTI HUCHIPUSHA nà KUPUKUTIAHA MAJANI. USING'ANG'ANIE WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kosa ambalo utalifanya ni kutokutambua kuwa watu ulionao sasa hivi wapo lakini hautakuwa nao siku zote. Watu huja na kuondoka. Kanuni...
  8. Ni aibu sana watu masikini wakaishia kuutupia matope na mambo ya kufikirika huu mti mzuri wenye kupendezesha mazingira

    Mara sijui mwanaume lazima afe, afirisike , wanandoa kugombana, blah blah. Sasa nashidwa kuelewa ina maana amba hawajapanda huu mti ndoa na uhai wao uko imara Tanzania nzima eti. Hukl ethiopia chimbuko lake wanaipenda sana na wala hakuna upuuzi kama huu uliopo bongo lala. Unakuuta mtu...
  9. Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini

    Wanabodi Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!. Mtu huwezi kukata tawi la...
  10. Huu mti unaitwaje kwa kiswahili

  11. Wakubwa nisaidieni kujua jina la mti huu

    Kwa kiswahili tafadhari
  12. Wakuu kuna ambae anaweza kutambua aina ya mti huu.

  13. Wakuu nisaidie kujua jina la huu mti kwa lugha yetu ya kiswahili

  14. Nisaidieni kujua zaidi kuhusu mti wa mjohoro (cassia siamea)

    Je Ni mzuri wa kivuli haupukutishi matawi ovyo ovyo, unakuwa haraka, maua yake hayatoi harufu kali, etc,? Karibuni
  15. Nisaidieni kujua jina la huu mti

    Kwa kiswahili itakuwa poa sana wakuj
  16. Kwanini Watanzania wengi wanauogopa huu mti

    Wengine huuita panga uzazi Kwanini uhusike direct na maafa yatakayotokea nyumbani?
  17. Wakuu huu mti unaitwaje

  18. Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?

    Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini? Karibu gardeners
  19. MTI HUU NA FAIDA ZAKE KATIKA UJENZI.

    Wakuu, Huu mti unaitwaje? Je una sifa gani katika ujenzi hasa kupauwa? Mbao zake zina uwezo wa kuhimili wadudu waharibifu na mchwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…