mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana Mkenya alipa deni la Mtanzania Hospitali (Tsh. Mil 8.3)

    Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Maria Maria alikwama kulipa deni la matibabu aliyopata baada kugongwa na gari wakati akitembea Barabarani ambapo alilazimika kubakia Hospitali ya Nakuru Level Five tangu Agosti 2022. Gavana wa eneo hilo Susan Kihika amechukua dhamana ya deni lote baada ya...
  2. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene maini unayokula si anayokula Mtanzania maskini

    Umetetea sana hoja ya tozo kuonyesha kuwa maisha yamebadilika bla bla bla! Maini mnakula nyinyi tena ya gharama sana - maini hapa yanawakilisha tu mambo mengi ya anasa ambayo viongozi wetu mnapata na huku mtanzania maskini kabisa tena yule wa kijijini huko bado mnanyonya bila hata huruma...
  3. 0

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Tanzania iwe ni elimu inayoakisi mazingira ya Mtanzania

    Taasisi ya Elimu nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ifanye maboresho hususani katika mitaala ya elimu, kuanzia ngazi za msingi mpaka ngazi za vyuo vikuu. Mitaala ya elimu inapaswa kuhusisha ufundishaji na ujifunzaji kwa vitendo na siyo kwa...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye Orodha ya ahadi alizowahi kuzitoa Rais Samia na zikafanyika Aziweke hapa

    1…….. 2……..
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha ya Mtanzania kiuchumi Tangu mwaka 2021

    MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021- Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na kadhalika. Makala haya yanaangazia maisha ya Mtanzania tangu mwaka 2021 na kuendelea yakilenga uchumi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  7. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tukuze Uchumi wa kila Mtanzania kwa kuboresha Huduma za Afya

    Kama ningepata nafasi ya kuboresha kitu kimoja hapa Tanzania, ingekuwa fursa kwa watu wengi kuinua kiwango cha maisha. Kitu ambacho ningeboresha ni mfumo wa huduma za afya, ambapo ningezipeleka mashinani (ngazi ya kijiji/mtaa), ili watu wengi wafikiwe. Pamoja na jitihada za serikali kutoa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu yanayomgusa moja kwa moja Mtanzania

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan; Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi sana likiwemo lile la elimu bure kutoka primary mpaka advance pia amesema kwa wanafunzi wa kidato cha sita watakao faulu vizuri masomo ya sayansi watapata ufadhili wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kuwa mkombozi kwa Mtanzania

    Utangulizi Sekta ya kilimo ni moja ya sekta nyeti duniani, ambayo inauwezo wa kuzalisha ajira nyingi kuanzia shambani hadi maofisini. Kilimo kimegawanyika katika makundi mawili ya mazao ambayo ni mazao ya biashara na mazao ya chakula . Jamii nyingi za Afrika zimejikita Zaidi kwenye kilimo cha...
  10. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu nchini ikombolewe kwanza ili iweze kumkomboa Mtanzania

    Elimu hutumika kumkomboa mtu kifikra, kimwili, kijamii na hata kiroho. Lakini uimara wa namna elimu itolewavyo huweza kumkomboa au kumdidimiza zaidi mtu. Elimu ya Tanzania bado ina mapungufu mengi sana yanayoifanya ilegelege katika ukombozi wa mtanzania. Ni vyema kuikomboa kwanza kwa...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Vita Kuu ya Wazungu, Mtanzania ni shujaa kivipi na kwa nani?

    Hivi Mtanzania aliyetumiwa na Mzungu kupigana Vita Kuu ya Wazungu/Dunia anaitwa shujaa kwa lipi haswa? Ni shujaa kwa nani? Alimpigania nani vita hadi tumuite shujaa? Miaka hiyo Tanzania ilikuwa ni Koloni na walioenda vitani walikwenda kupigania na kutetea English Empire, sasa huo ushujaa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yajayo yanafurahisha kwa kila Mtanzania, tutaita maji mma. Marehemu hakashifiwi!

    Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala. Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha wakasema jamani ee lifanyike jambo yes tutakanyaga katiba ila nibora mara mia maana hata hapo mwanzo...
  13. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

    Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake. Jana, Kamati ya Maadili...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Badala ya tozo kuelekezwa kusikojulikana, tozo hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa kila Mtanzania

    Tanzania Salaam, Nchi yetu sio masikini, Bali wananchi mmojammoja ndio masikini! Na umasikini huo unaweza kuchangiwa na vitu vingi, ni pamoja na kutokuwa na viongozi wenye maono! Viongozi waliodumaa kiakili, huduma mbovu wazipatazo wananchi licha kwamba kodi wanatozwa kila wakilala na kuamka...
  15. Judister Gabriel Mlawa

    JamiiForums Tanzania Nchi kama Tanzania ukiwa CHADEMA ni tatizo kubwa sana

    Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA. Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini, Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu kwa miaka 3 Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa nafasi hiyo?

    Tanzania ina Rais wa ajabu sana, Tume ya Madini ni Taasisi muhimu sana nchini , cha ajabu Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu nafasi hiyo kwa miaka 3 sasa. Ina maana Tanzania hakuna mtu wa kuweza au mwenye uwezo kusimamia Tume ya madini ? In aibu kubwa sana, hata Prof...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

    Salaam Wakuu, Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha. Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo? 1. 2021, Serikali ilianzisha tozo kwenye uhamishaji wa fedha na tozo ya muda wa maongezi. Je Tozo...
  19. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

    Hello Great Thinkers.... Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais Kwamba kila Uchaguzi ni...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maadili ya Mtanzania?

    BONGO DAR ES SALAAM;AKILI KUMKICHWA UKILEMAA UMEACHWA FERRY,JE HAYA NDIO MAADILI YA MTANZANIA!? Leo 12:15hrs 24/05/2022 Uadilifu ni moja ya nguzo kuu ya kimaadili katika Utamaduni wa Mtanzania, Watanzania tuna mila, desturi, sanaa, lugha, Elimu, Michezo, tiba, ulinzi, ujuzi, mavazi, Ngoma...
Back
Top Bottom