mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa sababu hizi, maandamano ya CHADEMA Tar 24 yaungwe mkono na kila mtanzania

    1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi. 2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake. 3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Haya ndio Majukumu ya January ya Mtanzania ambaye pia anajulikana kama Mnyonge

    Hebu fanya tathmini yako uone kama atatoboa . Huyu anaishi kwenye Nchi ambayo DED tu anatumia V8 , huku Mawaziri magari yao yakiwa ya bei mbaya hadi kuzidi Tsh mil 600
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

    Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Mtanzania na unafki ni sawa na tumbo na msosi..

    Wakuu Kwa watu wa mataifa mbalimbali wana sifa zao kila taifa.. Mathalani ukienda India aslimia kubwa ni uchafu, Ukienda China wao wanakula kila kitu kinachotembea ardhini na kupaa. Ukienda Jamaica wao wanasifika kwa matumizi makubwa ya mmea (bangi). Hivyo hivyo inakwenda kwa wabongo ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini mimi si Mtanganyika bali Mtanzania

    Tanganyika ilianzishwa chini ya wakoloni wa Kiingereza mnamo mwaka 1921 mara baada ya vita ya Kwanza ya dunia kuisha. Nchi hii ambayo toka ilipochukuliwa na Mjerumani mwaka 1885 iliitwa German East Africa Colony. Hii ikimaanisha Kabla ya hapo hatukuwa na Tanganyika wala hakukuwepo nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwako Mtanzania: Usajili kwenye Chama cha Utajiri

    USAJILI, UTAJIRI, UMAHIRI Kuanzia sasa ninafanya usajili, Kuanzia sasa ninajisajili, Najiunga kwenye chama cha utajiri. Kwanza nitaboresha uwezo wangu wa akili, Kila jambo nitafanya kwa kufikiri, Na kwenye kazi yangu nitaongeza umahiri. Kwa nini nimeanza na akili? Kwa sababu nilimsikia tajiri...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mtanzania aliyeko Washington DC tuwasiliane

    Kadiri ya ombi tajwa hapo juu, nina mpango wa kuja WDC kwa muda. Hivyo naomba ndugu yangu mtanzania uliyeko huko unipe connection hasa ya makazi ya muda kwa bei nafuu au unihost. Kwa mawasiliano zaidi karibu inbox. Ubarikiwe. Ndugu yako Kijana wa kitanzania.
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania ni milioni 2.8

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Ripoti ya Hali ya Uchumi Nchini imeonesha Pato la Mtanzania mmojammoja (GDP Per Capital Income) limeongezeka kutoka USD 399.5 (Tsh. 322,397) kwa thamani ya dola mwaka 2000 hadi kufikia USD 1,200 (Tsh. 2,880,000)...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania limeongezeka nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema katika ripoti ya Hali ya Uchumi nchini imeonesha Pato la Wananchi (GDP Per Capital Income) limepanda kutoka Dola za Marekani 399.5 (Tsh. 322,397) mwaka 2000 hadi kufikia Dola 1,200 (Tsh. 2,880,000). Akifafanua...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika Paul Makonda amerudisha heshima ya CCM kwa kila Mtanzania

    Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani. Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani Makonda yupo sahihi kutoa matamko ili mawaziri wa CCM wasikilize kero za Watanzania.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna anayejadili hatima ya Mtanzania anayeshikiliwa na HAMAS baada ya mmoja kuuawa?

    Baada ya kuchinjwa kwa huyu dogo hapa chini, je aliyebaki kama mateka wa HAMAS, kuna yeyote anafanya jitihada za kuwabembeleza HAMAS wamuachie? Maana mpaka sasa tunaona wanaachiwa wa Israel, Wamarekani, wa-Thai na mataifa mengine, vipi hatima ya mwana EAC mwenzetu. Wafia dini kwenye hili...
  16. JamiiForums Tanzania Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

    Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana...
  17. JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena. Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo. Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  19. JamiiForums Tanzania Mwalimu Mtanzania miongoni mwa walimu 50 bora duniani

    James Kidiga David United Republic of Tanzania - Kiara secondary school James’ journey towards becoming a teacher started in primary school. Knowing the importance of learning, he saw that many children do not get a quality education due to scarcity of teachers, poverty, early marriage, and...
  20. JamiiForums Tanzania Kama kuna kitu ambacho hupaswi kukifanya ni kumsaidia Mtanzania Bure (Free of Charge)

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Usije ukarogwa ukatoa ushirikiano wa aina yeyote kwa Mtanzania, hakuna mtu mpuuzi na mjinga kama mtanzania. Bado utampatia msaada wa bure lakini bado atakudondoshea zigo la lawama!. Mtanzania ndiye mtu pekee duniani asiyethamini jasho la mtu. 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…