humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums,
nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya...
Hello
Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa.
Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayolalamikiwa sana na madereva wa usafiri wa mtandao (Bolt, Farasi, Paisha n.k.) katika eneo la Kivukoni Ferry, Dar es Salaam.
Baadhi ya madereva wa bodaboda wanaopaki karibu na Pantoni wamekuwa wakifanya kitendo cha kuchomoa funguo za bodaboda...
DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa
Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
Kampuni ya Continental Reliable Clearling (CRC) imesema kumekuwa na kampeni zinazoendelea kwa kasi mitandaoni zenye lengo la kuchafua hadhi na taswira ya kampuni hiyo mbele ya wadau na washirika wake wa kibiashara.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo, kampeni hizo zimekuwa...
Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT.
Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
biashara mtandaoni
chatgpt
kamili
kazi mtandaoni
kuhusu
kujifunza
kupata pesa online
maisha
maisha na kazi
mtandaoni
mwongozo
teknolojia
teknolojia ya ai
Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii.
Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
1. Usile wanga
2. Usioe single mother
3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji
4. Usioe asiye bikra
5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+
6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo.
ONGEZEA ZINGINE
Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii.
Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa...
Kwanza napenda ku declare interest kwamba mimi ni mnunuzi mzuri wa mabinti kwenye mitandao ya Tinder, Tagged na Badoo.
Kila nikifika eneo jipya huwa nakagua profile moja baada ya nyingine kwenye mitandao hiyo na kufanya mchujo hadi nipate watoa huduma 5 wenye mvuto zaidi ndio nawapiga mkuyenge...
Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu.
Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu.
Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili.
Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
Hamjambo!
1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga.
2. Mbinu hiyo inafanya kazi haswa tena ni mbinu kamilifu hasa ukiwa upo upper hand. Lakini ukiwa lower hand...
❌ Tatizo la Watu Wengi:
Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani.
Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu .
Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji
1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
Kwa siku kadhaa kwenye nchi hii nimeshuhudia vita ya kimaneno katika watu wa imani ya kikristo na kiislamu na tena leo vita imechagizwa baada ya yule shekhe barahiyan kusema marufuku waislamu kula chakula cha krismasi kiukweli ukiona comment za wachangiaji wakristo na Waislamu nabaki nacheka na...
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani.
Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia.
Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi.
Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani.
Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.