mtandao

  1. JamiiForums Tanzania Dereva tax mtandao

    Naitwa Nehemia Elias Bhoke, Natafuta gari ndogo ya mkataba, nina uzoefu wa udereva wa tax mtandao(UBER,BOLT,FARASI N.K), kwa yeyote mwenye gari tuwasiliane 0698789184.
  2. JamiiForums Tanzania Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

    Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforums linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani. Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost...
  3. JamiiForums Tanzania JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta. Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi ya tax, mtandao

    Habari, Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi… “Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka...
  6. JamiiForums Tanzania China Yazindua Mtandao wa Kwanza wa 10G Duniani

    China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni kazi shirikishi ya Huawei na China Unicom, na unalenga kuwasilisha kasi ya upakuaji hadi 9,834 Mbps...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini unatumia mtandao wa simu ulio nao?

    Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu? Je incase ume attain Popularity una handle vipi Mawasiliano yako yani unakuwa na Multiples simcard au unafanyaje? Mimi natumia line moja tu ya simu na...
  8. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel leo Kuna Changamoto?

    Wakuu tangu leo asubuhi naona mtandao wa Airtel unasumbua nini Changamoto?
  9. JamiiForums Tanzania Zamani nilipoifahamu JamiiForums, Nilijua ni mtandao wa CHADEMA.

    Mwishoni mwa utawala wa Jk awamu ya pili, ndio nipo o level nilijua JF ni ya chadema. Kipindi hicho hoja nasikia zilikuwa za moto ile mbaya. Mpaka maafisa wa serikali nasikia walikuwa hawataki kuusikia kutokana na uozo wao kuanikwa humu. Sasa automatically nikajua this forum na belongs to...
  10. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

    Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿 Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo Katika...
  12. JamiiForums Tanzania NI WI-FI YA MTANDAO GANI INA BEI RAHISI TANZANIA

    Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini, Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI. Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na yenye ofa za vifurushi vya Bei ya chin kabisa
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni akaunti rasmi ya Mtandao wa X ya Mbunge wa Kisesa Joelson Luhaga Mpina

    Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X zamani twitter. Naomba JAMIICHEK inisaidia kujua ukweli kama akaunti hii ni mali halali au...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto ya mtandao, kupiga simu mpaka upande juu ya miti, wananchi waiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu

    Wananchi wa Kata ya Unyahati wilayani Ikungi mkoani Singida wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu ili kurahisisha mawasiliano katika vijiji vyao kutokana na huduma hiyo kusuasua hivyo kulazimika kupanda juu ya miti na mawe ili kupata mawasiliano.
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa Siku Hizi na Nguvu ya Mtandao: Tunajenga au Tunabomoa?

    Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔 Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu? Kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Maryprisca Mahundi atoa siku 14 kwa TTCL kuongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet Forodha ya Kasumulu

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, ametoa siku 14 kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) kuhakikisha linaongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet, katika kituo cha pamoja cha Forodha cha Kasumulu, kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama yawezesha magereza 10, usikilizwaji wa mashauri kwa njia ya mtandao

    Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
  18. JamiiForums Tanzania China yaja na technolojia mpya ya kuunganisha mtandao

    Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

    Mambo vipi wakuu? Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu. Sasa huu usahili ni kwa njia ya mtandao, huu usahili kwa njia ya mtandao ndio inakuaje? mnapewa tablets then mnaingia...
  20. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…