mtakatifu

The Chama cha Mariamu Mtakatifu (Community of St. Mary of Nazareth and Calvary), (CMM) is a large Anglican religious order operating within the Anglican Church of Tanzania, and with its headquarters at Masasi, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. canular

    ADONAI Mtakatifu

    Ewe Bwana Mungu, Baba Mtakatifu, Mwenye Nguvu Zote na Mwenye Huruma, ambaye umeuumba vitu vyote, unaojua vitu vyote na unaweza kufanya vitu vyote, ambaye hakuna kilichofichwa kwako, ambaye hakuna kisichowezekana kwako; Nina mshitaki kwako Huyu mwanamke Samia Suluhu Hassan aliyepokea uongozi...
  2. Fbn

    Muujiza wa Mtakatifu Francis Xavier na Kaa wa Msalaba

    Hadithi ya Mtakatifu Francis Xavier na Kaa Mnamo mwaka 1546, Mtakatifu Francis Xavier alikuwa akisafiri kwa njia ya bahari kuelekea Malacca (katika Malaysia ya leo). Safari iliyoanza kwa utulivu ilibadilika ghafla na kuwa ya kutisha. Mawingu meusi yalitanda, upepo ukavuma kwa nguvu, na mawimbi...
  3. Keynez

    Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  4. Setfree

    Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
  5. REALITY

    UJUMBE MTAKATIFU USIPUUZE

    🕊️ UJUMBE MTAKATIFU KUTOKA KWA AIN SOPH AUR – KWA WANADAMU WOTE WA ZAMA ZA MWISHO Umeandikwa kwa upendo wa kweli na kwa mamlaka ya mwanga kupitia kwa Nahunel Shavari, mwana wa asili na sauti ya Chanzo. 🜂 “Enyi watoto wa udongo na mwanga, sikilizeni. Saa imefika ya kuambiwa kweli bila pazia. Kwa...
  6. mimi mtakatifu

    Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
  7. N

    Maamuzi ya utatu wa tai,dubu na dragon ya wajumbe vivuli wa amani/wa vita

    Naomba niwahabarishe kidogo tulichoamua na wenzetu tangu juzi ili kufikia makubaliano yatakayookoa pande zote. Mimi nikiwa kiungo wa kati niliweza kushiriki na wenzangu kwenye kikao cha siri kilichoanzia kwenye simu mwisho tukakutana kwenye nchi moja ndogo ya ulaya. Nikiwa kama mwakilishi wa...
  8. R

    Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Nilichotaka kuandika kimeelezwa kwa urefu kwenye video hapo chini. Karibuni tujadili. Kuna app ya kutafsiri video kwa lugha nyingine nikiipata nitaiweka humu kuwasaidia wale ambao Kiingereza si rafiki. Video: https://youtu.be/JAydJoa2fLg?si=WpVmO1qU-TAjXEXp
  9. Ojuolegbha

    CCM watoa salaam za pongezi kwa kuchaguliwa kwa Papa Leo XIV

    SALAAM ZA PONGEZI KWA KUCHAGULIWA KWA BABA MTAKATIFU MPYA
  10. Dennis Robert Shughuru

    Science na ukristo ni kitu kimoja hakuna utofauti, ni uongo mtakatifu kusema kuna tofauti kati ya science na dini

    Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa Kama dunia inge-embrace hii partnership basi tungekuwa mbali sana tuko nyuma sana kimaendeleo kwenye nyanja nyingi kwa...
  11. Setfree

    Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

    Najiuliza maswali haya: Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee? Maria yuko wapi kwa sasa? Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea? Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila...
  12. Jumanne Mwita

    Kanisani si kila anaelia amejazwa na roho mtakatifu wengine wanalia na shida zao

    "Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
  13. U

    SI KWELI Papa amesema kuwa Wakatoliki wale chochote wanachokitaka wakati wa Kwaresima kwa kuwa dhabihu haipo tumboni bali moyoni

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: “Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart. People abstain from eating meat, but they do not talk to their siblings and/or relatives, they do not visit their parents and do not...
  14. mcTobby

    Tuache unafiki , angekuwa hapa kwetu Tanzania mngempa hiyo nafasi?

    Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
  15. R

    Utatu Mtakatifu: Wanatheolojia tujadili

    Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces. Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha kwamba nafsi tatu ni God's manifestation in various occasions. Naweka hoja mezani tujadili. Je, Mungu...
  16. J

    Je, binadamu anaweza kuwa Mtakatifu

    Je, Binadamu Anaweza Kuwa Mtakatifu Utakatifu ni Nini Utakatifu ni ile hali ya kuwa safi mbele za Mungu, kumhofu yeye na kumuogopa yeye na kujitenga mbali na dhambi. Neno “Mtakatifu” lina maana mbili katika moja; Yaani kutengwa na dhambi kabisa na pili kuwekwa wakfu/ maalum kwa ajili ya...
  17. N

    Chuo kikuu Cha mtakatifu Joseph Cha mjini songea ni kama mshumaa uliozima ghafla.

    Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
  18. musicarlito

    Tusiipotoshe Sikukuu ya Mtakatifu Valentino (Valentine's day)

    MTAKATIFU VALENTINO, PADRI NA ASILI YA SIKU YA WAPENDANAO ( VALENTINE DAY ) Siku ya Valentine Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumkumbuka Padre Valentino aliyeuawa na utawala wa Kirumi. Mt. Valentini alizaliwa mwaka 226 AD huko Terni, Nchini Italia na aliuawa Februari 14...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  20. Tlaatlaah

    Sasa kama wewe ni Mtakatifu unaenda kufanya nini kwenye mikesha ya Maombi na Maombezi?

    Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume! Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na...
Back
Top Bottom