mtaani

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu Sasa baada ya miezi...
  2. JamiiForums Tanzania Tongoza wanawake mtaani

    Achana na wa mtandaoni, simu za sasa zna camera za kisas zinamscrab mtu anakua pisikali Tafuta wa mtaani ni salama kwa afya yako ya mwil na akiliiiii
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinyozi darasa la 7 anaingiza 30-70k kila siku, tuache kukazania watoto kusoma tu, tuwape na ujuzi wakihitimu degree na wakikosa ajira wawe na PLAN B

    Elimu ni wajibu, si urithi. kumsomesha mtoto hadi ngazi ya shahada ni haki yake ya msingi. Hata hivyo, hilo pekee halitoshi. Ni muhimu pia kumpa nafasi ya kujifunza ujuzi wa ziada, ujuzi wa vitendo na ubunifu utakaomsaidia kujitegemea pale ambapo hana uhakika wa ajira rasmi alizosomea. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushawahi kua ushajenga tayari unakaa kwako halafu mtaani una chumba umepanga unalipia kodi?

    Nataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI). Hapa nataka tuu mtu ambae ashawahi kufanya hivi anipe experience yake.
  5. JamiiForums Tanzania Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

    Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba. Hii...
  6. JamiiForums Tanzania Mtaani Festival

    Habari Tanzania ! Nawaomba basi wenye mamlaka mturuhusu Vijana na hata wazee waweze kuwa na Party/ Sherehe ya Mtaa yaani wana mitaa tunakusanyika tunapiga cha Pilau safi na kupiga mastori ya hapa na pale ila hii Sherehe iwe ya kitaifa tufanye siku moja kila mtaa. Haya maisha ni kusheherekea...
  7. JamiiForums Tanzania Gari la BYD mtaani…

    Kuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”. Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge. Sawa Wachina.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wengi mtaani lakini leo ni lazima lengo litimie

    Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
  9. JamiiForums Tanzania Kaa kimasta! Hasira imetamalaki mtaani kwa walioikosa ile fursa!

    Wahenga walisema, vita vya panzi, ni furaha kwa kunguru, ama vita vya kuku ni furaha kwa mwewe alie karibu! Hii ni misemo ya wahenga, Sote tunakumbuka yaliyotokea October 29 hadi dec 2...ile lockdown ya siku takribani 3-4 hivi ilivyogeuzwa fursa! Wagagagigikoko waliigeuza ile kuwa Fursa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  12. JamiiForums Tanzania Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

    Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira...
  13. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Energy drink nyingi za Metl huku mtaani zimeexpire halafu wanaandika expired date kihuni kuhalalisha ujinga wao

    Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya kumkomoa nani? TBS mpo wapi mpaka watu wafe au wapate madhara kwa wakati mmoja ndo mtawachukulia sheria...
  14. JamiiForums Tanzania Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa First year mnaowapokea Kwa utaratibu maalumu wametokea mtaani huko.

    Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada wanamsajiri WA TU, diabolical. Polisi wanapewa muda wa kuongea na wanagunzi wakiwaChimba mkwara VIjana...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kunatokota sana huku mtaani

    JF Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana. Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana. Haki huinua taifa.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

    Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano. Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania

    Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania
  20. JamiiForums Tanzania Sio wajibu wa jeshi kushughulika na vitendo vya kihalifu mtaani, hiyo ni kazi ya polisi.

    Wenye wajibu wa kukemea na kupambana na vitendo vya kihalifu ni polisi na sio jeshi la wananchi. Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, katiba na uhuru wa nchi. Vitendo vya kihalifu mitaani havihusiani na usalama wa mipaka ya nchi, katiba na uhuru. Wanaofanya uchaguzi haramu unaopelekea hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…