mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  2. JamiiForums Tanzania Mchele umeshuka Bei, nipo hapa mtaani naona mchele mzuri bei 2600

    Nimenunua mchele mzuri hapa Temeke 2600 ndio naenda kupika pia kwa pembeni nimeona Mwingine sh 2500 mzuri na wenyewe pia. Hakika Jambo hili ni Jambo Jema Sana kiukweli. Update Mchele ni mtamu Sana ndo napakua Muda huu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

    Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA: DEGREE ZENYEWE NI HIZI: Ualimu, Human Resource Economics Law Procurement and supply, Secretary Banking and Finance, Community Development, Public Relation, Business Administration, Record...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Sitaki kukumbuka matapeli wa kanyaboya. Niliwapa hadi simu yangu ili nikomboe pesa niliyopewa kununua bia za baba, mshua alinitembezea kipigo kikali

    2008 hiyo Mshua alikuwa anapiga kazi zake za wiki lakini ikifika Ijumaa mida ya saa mbili flani hivi anapiga vyombo vyake kistaarabu kabisa hana kelele wala fujo na ni ndani sio bar. Nilipewa takribani elf 10 kuchukua lvinywaji alivyoniagiza, enzi hizo ni pesa kubwa hii. Nilipita sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Wanajeshi kupiga watu mtaani inakuwaje?

    Haya matukio ya raia kupigwa na wanajeshi mtaani hutokea pale ambapo mwanajeshi mwenzao kafanyiwa kitendo kibaya na watu wasiojulikana hasa labda imetakea mwenzao kaibiwa, kaumizwa, kauliwa, nk. Nimewahi shuhudia matukio haya ambayo yaliwafanya watu kuishi kama wakimbizi maeneo ya Dar Kigamboni...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

    Habari za leo wana JF? Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa. Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
  7. JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  8. JamiiForums Tanzania Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

    Kwetu wanaiita "Kisungura" aloo vijana wanakuwa wazee kabla ya wakati wao.
  9. JamiiForums Tanzania Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  10. JamiiForums Tanzania Mtaani kwako soda wanauza shilingi ngapi?

    Zile za chupa ya glasi ambazo sio take away kwasasa ni sh ngapi? Huku kwetu baadhi ya maduka wanauza 800, je ndio anaupiga mwingi?
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake ambao tuko nao huku mtaani ndo wanawatesa Hadi mnatangaza kujiua au nyie mna-date na HD high definition?

    Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko . Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka . Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka...
  12. JamiiForums Tanzania Iran: Wakati maandamano yakiendelea, Polisi wa Maadili waondolewa mtaani

    Wanausalama hao ambao jukumu lao kubwa ni kuangalia aina ya mavazi yanayotakiwa kuvaliwa na raia wake wanaondolewa ikiwa ni miezi kadhaa tangu wawe chanzo cha maandamano yanayoendelea. Mwanasheria Mkuu wa Iran, Mohammad Jafar Montazeri ametoa kauli hiyo licha ya kuwa bado haijathibitishwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Shilingi 500 bandia zimezagaa mtaani tuwe makini

    Habari, Wana JF mimi sina utaalamu wa uwandishi hivyo tuvumiliane kwa wale wakosoaji wa uwandishi. Twende kwenye lengo, hivi karibuni kumezuka mia 500 fake nyingi sana mtaani, ambapo mwisho leo usiku huu nimekutana nayo na nikathibisha madai haya niliyowahi kusikia kabla. Utaijuaje ni fake...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi Kagera walia na uchafu mtaani

    Baadhi ya wakazi wa Kata za Bilele na Bakoba katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali wananchi ambao wanazalisha taka na kuzitupa katika Mto Kanoni, maana kufanya hivyo wanahatarisha afya na usalama wao. Wakazi hao wamesema kuwa tatizo hilo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu vyuo Vikuu uzeni maji mtaani

    Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS. Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu ! Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa ) Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
  17. JamiiForums Tanzania Ongezeko la hotuba za Hayati Magufuli mtaani, nini maana yake?

    Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani. Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli. Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili: Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania nzima hofu imetawala Simba SC, mtaani hawaonekani

    Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga. Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani, Yanga tu ndiyo wanaonekana. Hawana wasiwasi kabisa na mechi ya leo. Tanzania nzima naambiwa hali ni...
  20. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda. Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…