mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Tulia uko wapi mbona husemu neno?. Mwakalenga jana katapeliwa

    Wakuu kwema? Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online. Tulia trust mikopo wamemtapeli jamaa mmoja muendesha bulldoza hapa Unguja jana. Kalipa laki 3 na...
  2. JamiiForums Tanzania Enzi za jiwe, tuliogopa kuchunguza vyeti "FEKI" kwenye majeshi yetu, kuofia kutengeneza majambazi mtaani, Nina wasi wasi huyu shahidi na yule alie kuf

    Enzi za jiwe tuliogopa kuchunguza vyeti FEKI kwenye majeshi hasa jeshi la polisi, ILA Nina wasi wasi huyu shahidi Amini Mihamba kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu Kuna mmoja alikuwa anesoma na mwingine alifoji vyeti. Kwa kuwa wa kwanza aliushafariki, na kwa jinsi utetezi wa huyu aliyehai...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa cha Zimbabwe kuchapisha kiasi kikubwa cha fedha, lakini bado ikakabiliwa na upungufu wa cash mtaani

    Tujikumbushe kuhusu kisa hiki cha Zimbabwe Thamani ya fedha iliporomoka kiasi kwamba manunuzi ya kawaida yalihitaji kiasi kikubwa sana cha noti, hali iliyozalisha picha maarufu za watu kubeba mafungu makubwa ya fedha kwa ajili ya bidhaa za msingi. Cha kushangaza zaidi ni kwamba, pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  7. JamiiForums Tanzania Mnyika ingia mtaani hacha ubishooo njooo tukupe tone tone tafadhali uje na pipa tafadhali na gunia za kutosha

    Nimeona tone tone Mwanza imeingia mtaani, Mnyika na Heche njoooni mtaani mbebe Hela tunazo sisi hatuwezi tumakwa simu au benk HAYA majamaaa yatatunyaka sisi ni nyoka jeusi tupo nao ndani njoooni mtaani tutakutana niwape tone tone
  8. JamiiForums Tanzania Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

    Habari zenu wakuu Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali Tunatakiwa tuwe makini sana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Tumeweka askari wa kutosha sana Mtaani, hali hiyo itaendelea mpaka tutakapoona tarehe iliyopangwa tumepita kwa Usalama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu ni kwamba pesa mtaani hamna au?

    Salaam. Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana. Wazee ni kwangu...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na bashiti kizani mtaani vipembeni unaweza kufanya nini?

    Swali liko wazi. Hiki kiseeenge ni noma na kinahitaji tuwe noma pia kinomanoma kumomesha unoma kinoma au vipi?
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ulifanikiwaje kuiendesha Ile biashara ya pembeni bila duka Kwa online na ukapata pesa kuingia rasmi mtaani Kwa vibali

    Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO. Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
  15. JamiiForums Tanzania Makebo ushakua msemo maarufu mtaani

    Nilienda dukani kununua mahitaji ya hapa na pale leo wikiend, mara pap kapita boda kapakiza dada anamzigo kama wote, ghafla nikasikia wamama wauza vitafanwa na supu wanasema " YALE MAKEBO YATAVUNJA SPRING ZA BODABODA" Nikatoka pale nacheka sana moyoni kwahyo huu msemo wa Makebo ushakua serious...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu anastahili kupongezwa sikuhizi magereza mtu akitoka anatoka na ujuzi kamili wa kujiajili haji kuwa mzigo mtaani

    Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Paschal Katambi kwenye hafla ya hafla ya kuhitimisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nawachukulia poa watu wenye gereji za mtaani, kumbe zinalipa ?

    ni gereji ya mtaani, sio kubwa sana, ni ukubwa wa kiwanja cha nyumba hivi karibuni nimejua mmiliki moja wapo wa hizi hereji ana maisha mazuri tu, watoto wake wanasoma shule private, ana nyumba mbili, gari prado na mke wake anayo ya kawaida, n.k. nilikuwa nazichukulia gereji kawaida sana
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuna maji mtaani mwezi mzima, idara ya maji Arusha (AUWSA) hawashughulikii

    Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane. Cha ajabu ni kwamba...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani

    Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza mtaani kwetu vinyesi vinamwagika tu, yaana mwaka sasa na tumesharipoti DAWASA hawafanyi kitu tumeripoti kwa mwenyekiti hafanyi kitu. Tunaomba msaada kuna Watoto wadogo wanachezea hicho kinyesi, ni Mikocheni A, Mtaa wa Darajani aisee hali ni mbaya sana, naomba...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

    Unakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula. Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga. Weka na K Vant pia hapo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…