MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.
Kariakoo ni kitovu cha biashara na panaingiza fedha nyingi sana lakini ni eneo ambalo ni limesahaulika na watu wa manispaa au serikali za mitaa wanachojua ni kukusanya service levy tu.
Mfano, mtaa mmoja wa Sikukuu una matope, chemba zinatiririsha maji machafu, mtaa unanuka na kibaya zaidi ni...
Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam.
Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi.
Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
Anonymous
Thread
chanika
mchango
michango
mtaa
ofisi
sahihi
serikali
serikali ya mtaa
utaratibu
viongozi
Mimi ni mkazi wa Mabibo Sahara, kero yangu/yetu wakazi wa huku tunachangishwa pesa za ulinzi shirikishi kwa maelekezo ya mwenyekiti, shida siyo kuchangishwa fedha kwa ajili ya ulinzi shirikishi kama mtaa, je ni sawa kuchangishwa kila chumba kwa nyumba moja yaani sio nyumba ila kila chumba...
Anonymous
Thread
mabibo
michango
mtaa
mwenyekiti
mwenyekiti wa mtaa
ulinzi
ulinzi shirikishi
Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata.
Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
Anonymous (fdc6)
Thread
bili ya maji
changamoto
changamoto ya maji
huduma
huduma ya maji
kanisa
maana
maji
mamlaka
mtaa
ni ya
pugu
Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi.
Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
Anonymous
Thread
kibaha
kibaha kwa mfipa
maji
mtaa
tatizo
tatizo la maji
tatizo la maji kibaha
Igweeeeeee
Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo
Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa
Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili na kutelekezwa baada ya kumwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika.
Tulikuwa...
Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.
Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo.
Makaburi yamekuwa sehemu ya kutupia taka tena zinajaa kiasi cha kufunika baadhi ya Makaburi.
Tumejaribu kufikisha...
Hajambo wote!
1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia.
2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma Mjini, Kahama Mjini, na Sasa nipo zangu hapa Morogoro.
3. Aiseeh! What goes on here?
4. Dec 31...
Mbeya licha ya kuwa na mitaa mingi iliyojengwa hovyo bila mpangilio, lakini mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana
Uzunguni kumepangiliwa vizuri, kuna miti mingi, hata hali ya hewa ya utofauti, na majengo yameachiana space, kati ya jengo moja na lingine. Uzunguni ni mtaa ambao upo kimya sana, kiasi...
NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI
Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari
Bei: 10M cash...
Habari Tanzania !
Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi.
1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department).
(Kata = Vijana Ward...
MTAA UNATAKA NINI....
Kila kijana ana ndoto za kupata pesa aijalishi atafanya kazi gani ila lengo ni pesa..watoto wameacha shule wakidai wanapoteza tu mda wao kusaka elimu ikiwa lengo la elimu ukimaliza ni kutafuta pesa..
Leo kila mtoto yupo mbio kukimbilia ndoto zake za kupata pesa ya...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni kinachofanya shughuli za urejelezaji wa taka hatarishi aina ya simu za kiganjani chakavu katika...
Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai
Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi
Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai
Rip Job Ndugai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.