msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Shutuma za nchi za Magharibi kuwa China inaharibu mnyororo wa ugavi duniani hazina msingi

    Wizara ya Biashara na Mamlaka ya Forodha nchini China hivi majuzi zilitangaza kudhibiti mauzo ya nje ya bidhaa za Gallium na Germanium kuanzia tarehe mosi Agosti. Baada ya kusikia habari hii, Wizara ya Biashara ya Marekani ilitoa malalamiko mara moja, huku baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za...
  2. JamiiForums Tanzania Unadhani hii Nguvu Kubwa ya Watanzania Kuijadili DP World ije au isije ingehamishwa Kujadili ya Msingi tungekuwa 'Masikini Tukuka' hadi Leo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu 'Comments' zenu hivyo Karibuni sana.
  3. JamiiForums Tanzania Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Wanabodi Nipashe la leo, Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
  5. JamiiForums Tanzania Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
  6. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nguvu ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji mdhamini wa kuniwezesha kujenga shule kwa ajili ya kuhudumia wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kwenda shule lakini pia kutengeneza ajira

    Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi na Uwajibikaji ndio Msingi wa Utawala Bora

    Utawala bora ni muhimu katika kuleta maendeleo na ustawi wa jamii. Hata hivyo, ili kuhakikisha utawala bora unapatikana, uwazi na uwajibikaji ni muhimu sana. Uwazi ni hali ya kuwepo kwa taarifa na habari zote muhimu zinazohusu serikali na taasisi zake zinapatikana kwa urahisi. Hii inawezesha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Prof Tibaijuka amhoji Spika. Ataka kujua Je Bunge ndo limeridhia Mkataba wa Bandari na imeisha hiyo au kuna maboresho yoyote katika mkataba wa msingi?

    Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
  10. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Shule ya Msingi Yaliyotoswa na Wanufaika

    Kama yote yaliyofundishwa mashuleni, hasa Shule ya Msingi, huenda haya yasingetokea: 1. Matumizi ya leso Ni kawaida kwa baadhi ya watu, wanapopenga "kamasi", kutokkutumia leso. Bdala yake, hutumia mikono yao kuziba pua kidogo na kupuliza pia, " pwiii", kupuliza pembeni. Halafu maji maji...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump adai mashtaka yake ni ya kijinga na hayana msingi

    Akizungumza hadharani tangu afunguliwe mashtaka 37 yanayohusu kuficha nyaraka za siri za Serikali katika mjengo wake wa Mar-a-Lago, Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekana kufanya makosa hayo. Amesema "Wanasema uwongo, wanatengeneza tuhuma, wanachukua hongo, wahalifu hao hawatakiwi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko mkubwa bungeni: Wabunge wengine wanasema huu si mkataba, ni makubaliano ya awali tu, wengine wanasema ni msingi wa mikataba itakayofuata

    Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW. Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata. Wapo wanaosema...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Falsafa ya Julius Nyerere: Uwajibikaji na Utawala Bora kama Msingi wa Maendeleo ya Kijamii katika Afrika

    FALSAFA YA JULIUS NYERERE: UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KAMA MSINGI WA MAENDELEO YA KIJAMII KATIKA AFRIKA Imeandikwa na: Mwl.RCT I. Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii, hasa katika nchi za Kiafrika. Julius Nyerere aliamini katika uwajibikaji...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati rasmi wa Tehema kuwa somo la msingi ngazi ya shule za msingi mpaka elimu ya juu

    Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa kuanzia mjini mpaka vijijini, kwa vile dunia sasa ipo kiganjani ni vizuri nchi ikaendana na kasi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto adaiwa ‘kupooza’ mkono baada ya adhabu ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Miririni Wilaya ya Meru

    Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole. Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ni msingi wa maisha bora

    ELIMU NI MSINGI WA MAISHA BORA Katika kijiji cha Kalimani, watu walikuwa hawana ufahamu wa umuhimu wa elimu. Wazazi hawakupeleka watoto wao shule, na badala yake, waliwafundisha jinsi ya kufanya kazi za shamba na nyumbani. Ijapokuwa watu wa kijiji hicho walikuwa na furaha, walikosa maarifa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa Walimu wa shule za Msingi na Sekondari ni kujitia kitanzini

    Nawasalimu wanachama wa jukwaa hili. Niombe kwenu ushauri kuhusu walimu waliojiendeleza wa shule za msingi na sekondari. Kuna ndugu yangu amenisimulia kuhusu kutopandishwa cheo/daraja kwa walimu waliopanda cheo kwa mara ya mwisho mwaka 2019 na walipaswa kupanda tena mwaka huu 2023 Kwa mujibu wa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayeijua shule ya msingi ikoma iliyopo kishapu mkoani shinyanga please

    Kwa mwalimu yeyote wa msingi mkazi wa wilaya ya kishapu anaehitaji tunadilishane vituo vya kazi anitafute please.
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malezi bora ni Msingi wa jamii bora

    Salaam watanzania wenzangu. Nimepata shauku ya kuandika juu ya swala la malezi bora kwa watoto wetu kama msingi mzuri wa jamii bora ya kesho na baadae. MABADILIKO YANAYO WEZA KULETWA NA MAUDHUI YALIYO KATIKA ANDIKO HILI; Ni matumaini yangu kuwa, andiko hili litakuwa chachu katika kuleta...
  20. JamiiForums Tanzania Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…