msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mo asituvuruge Pesa yote aliyotoa usajili msimu huu ilimnunua kipa 1 tu Ayoub

    Licha ya kulalama. Mo aache kutuvuruga. Kwenye usajili wa msimu huu yeye kama yeye kasajili kipa tu ambaye ata hachezi. Aligoma kutoa pesa za usajili. Akina jaribu tena wakafumua zote kutoka CAF. Bilion 2.5. Kuona usajili umekamilika bila kutia ela yoyote. Akaagiza akina jaribu tena...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hivi, kuna umuhimu wa kikosi Cha Simba kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya?

    Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
  3. JamiiForums Tanzania Team Ndogo na Mbovu ambazo zimekutana na Kipigo Kizito Hadi saiv kwenye NBC Msimu wa 2023/2024

    Zifuatazo ni Team Ndogo zilizokula Kichapo Kikubwa Msimu huu wa NBC 2023/2024
  4. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  5. JamiiForums Tanzania Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

    GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa. Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Luka Modric hajawahi kufikisha magoli 10 au Assist 10 kwa msimu katika Career yake

    Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita. Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko Bernabeu wakati Real Madrid ikitwaa UCL mara 3 mfululizo. Lakini cha kushangaza kama sio kustaajabisha...
  7. JamiiForums Tanzania Neymar aumia goti, inawezekana akawa nje hadi mwisho wa msimu huu

    Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji. Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi miwili tangu aliposajiliwa na Al-Hilal ya Saudi Arabia na kupewa Mkataba unaomwezesha kulipwa Pauni...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani dunia inapata vipindi mbalimbali vya msimu (Kiangazi, Masika na Vuli)?

    Salama? Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu. Nawasilisha.
  9. JamiiForums Tanzania PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza! La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa Rais wa TZ ni mkubwa kwao kuliko Waziri mkuu wao. Watu fulani wanashangilia, lakini kwa tunaojali...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Iwapo Yanga ataingia fainali CL msimu huu, jitihada zote za Simba kwa miaka sita nyuma zitakuwa na maana!?

    Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo Simba ashafika nusu...
  11. JamiiForums Tanzania Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  12. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili pira Gamondi, hakuna shaka kwa Yanga kubeba ndoo ya CAF CL msimu huu

    Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani. Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya...
  14. JamiiForums Tanzania Unazionaje Simba na Yanga huu msimu huu wa 2023/ 2024?

    Mienendo ya Simba na Yanga, kwa Upande wako unadhani nanii anatabiriwa makubwa kwa huu msimu 2023/2024?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Bei ya korosho msimu 2023-2024

    Tupo kwenye maandalizi ya msimu mkubwa wa zao la korosho hasa kwa wananchi wa mikoa ya kusini, ni ukweli usiopingika kuwa korosho ni zao kubwa kwa wananchi wa kusini na Tanzania kiujumla, athari zake ni kubwa kwenye kuongeza pesa za kigeni na kuchagiza mzinguko wa pesa kwenye nchi. Msimu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/2024

    Kesho tarehe 15 /08/2023 ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania Bara inaanza rasmi msimu wake wa 2023/2024. Ligi hii ilizinduliwa rasmi kwa mechi ya kilele kati ya Simba na Yanga tarehe 12/08/2023 ambapo timu ya mpira ya Simba ilishinda na kubeba Ngao ya jamii. Huu hapo ni msimamo wa ligi hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Timu bora imepoteza mechi kwa penalti, mashabiki na wanachama msihuzunike mnayo timu bora msimu huu

    Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi! Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third, ambalo nafikiri kocha gamond anatakiwa alifanyie kazi, na aanze kumtumia Hafidh...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

    Naona huyu kocha wa Simba hatamaliza msimu. Akifika hata nusu tru ya hii season ashukuru.
  19. JamiiForums Tanzania Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

    Kuna dalili mbaya toka pre-season hadi jana kwenye Simba Day nimeshaaza kuziona zinazoashiria kuwa Simba inaenda kuwa na msimu mbaya sana. 1. Tukirudi nyuma mwishoni mwa msimu uliopita, kipa Aishi Manula aliumia na kwa sababu za kijinga kabisa Beno Kakolanya, kipa mwenye uwezo akawa anakaa...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga jiandaeni na parade jingine msimu wa 2023/2024 hakuna timu ya kuwazuia

    Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado wanayo timu bora ambayo inakwenda kutwaa tena ndoo kwa mara nyingine! Kutoa mapovu ni ruksa but...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…