msikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Wayahudi Waliohifadhiwa Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili Vya Dunia Wasiuliwe na Hitler

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8
  2. Mohamed Said

    Wayahudi Waliohifadhiwa Ndani ya Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8?si=vmE4Ph5dSZivJ_JO
  3. Mohamed Said

    Siku Sheikh Rocket alipiga adhana mbili ndani ya msikiti na sokoni

    SIKU SHEIKH ROCKET ALIPOPIGA ADHANA MBILI MOJA KIBLA MASJID BADAWY NA NYINGINE NDANI SOKO MJINGA KISUTU Sikupata kujua wala kuwaza kwa bali kuwa rafiki yangu mmoja alikuwa rafiki wa Sheikh Rocket tena rafiki yake wa kukaa, kuzungumza, kutembeleana nyumbani na kula pamoja. Huyu sahib wangu ni...
  4. Chizi Maarifa

    Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  5. M

    Saudi Arabia yazuia kombora la Yemen kuelekea Israel, likipita juu ya Madīnah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī

    Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
  6. Stuxnet

    Cordoba Mosque Cathedral, ilikuwa kanisa, ikawa msikiti ikarudi kuwa kanisa huko Spain

    Kanisa Kuu la Córdoba, pia linalojulikana kama Msikiti-Kanisa Kuu la Córdoba (Mezquita-Catedral de Córdoba), ni la kipekee kwa sababu ya historia yake ya ajabu na usanifu. Awali, ujenzi huo ulianza kama kanisa la Kikristo katika karne ya 6, lakini mwaka 784 BK, uligeuzwa kuwa Msikiti wa...
  7. F

    KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

    Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili...
  8. Yoda

    Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  9. M

    Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

    je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ? video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani...
  10. N

    Kosa la Imamu halisababishi msikiti ufungwe

    Hayo yamesemwa na muumini wa kanisa la ufufuko na uzima. Je unadhani yupo sahihi ama hayuko sahihi?? Imamu akikosea utafunga msikiti ama utamwadhibu Imamu? Dominika njema
  11. M

    Shekhe wetu leo katika swala ya Idil Adh Ha amezungumzia Amani amani tu, akasema msiniulize swala la haki

    Leo kuna Shekhe wetu mmoja alisimama kutusulimiana ktk swala ya idil adh ha na kutwambia kwamba umechaguzi umekaribia na ameagizwa aje kutwambia swala la amani, kaongea mengi kuhusu umuhimu wa amani, amani amani amani, mwisho akasema msiniulize swala la haki, hapo msikiti mzima wakacheka...
  12. ommytk

    Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  13. Mshana Jr

    Ujue msikiti uliojengwa na majini

    Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na viumbe wasio Onekana na Binadamu yaani "Majini" Msikiti Huu ulianza kujijenga wenyewe Kuanzia Hatua...
  14. KING MIDAS

    Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

    MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach. Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti. Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti. Mama endelea hivyo hivyo
  15. Pascal Mayalla

    Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  16. matunduizi

    Ilikuwakuwaje ukajikuta unaabudu katika hilo kanisa au msikiti?

    Moja KWA moja, binafsi nilijikuta KWA sababu walionilea walikuwa wanasali humo (SDA). Yaani dini ya kurithishwa. Lakini katika ukubwa na kujitambua nilikaa upya kutathmini na kuanza kukagua upya ninachokiamini nikilinganisha na imani nyingine na kuamini upya kabisa katika imani hii. MENGI...
  17. Zee la madawa

    Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

    Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
  18. Chizi Maarifa

    Video: Kipindi cha Mfungo Majini yanafunga, yanaenda kuhiji na kutoa Sadaka. Yanakuwa Msikitini Mecca

    Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki. Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa...
  19. Waufukweni

    Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
Back
Top Bottom