mshauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bashungwa Amuondoa Mhandisi Mshauri, Aagiza Mkandarasi Kutopewa Miradi Mingine

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa Mhandisi Mshauri LEA Associaties anayesimamia ujenzi wa barabara ya Kitai - Lituhi sehemu ya Amani Makoro-Ruanda (km 35) kwa kiwango cha lami na kuutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kusimamia ujenzi huo ili uweze kukamilika...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mshauri wa Usalama wa Taifa wa Obama, Stuart Seldowitz anaonesha ubaguzi wa wazi kwa Wapestina

    Wanaukumbi. Islamophobia and blatant discrimination is widespread in many Western countries. This is supposedly a video of Stuart Seldowitz, a former advisor to President Obama threatening a food vendor. This systematic prejudice against Muslims is sadly found on both sides of the aisle...
  4. JamiiForums Tanzania Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Amemaliza chuo kikuu ngazi ya Shahaada mathalani 2015. Amejitahidi kusaka ajira serikalini na kwenye sekta binafsi tangu wakati huo, mpaka sasa bila bila, na anaelekea kukosa sifa za kuajirika kwa mujibu wa sheria kutoka na kigezo cha umri na uzoefu. Mambo ni mengi na ni Magumu, na muda ni...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  6. JamiiForums Tanzania Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ateuliwe kama mshauri wa Rais masuala ya biashara

    Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani. Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

    Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari. Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Komandoo wa shida: Kuwa Mshauri na kuomba msaada unapokwama

    Watu wengi huamini kwamba mtu anayebeba matatizo ya wengine yeye hana ya kwake. Hali hii humfanya mhusika akipata tatizo ashindwe kusema. Fikiria mtu aliyekushauri uache bangi, siku akikuambia ameangukia kwenye kuvuta utamwelewa? Tunapenda kusema mtu akiwa na depression aseme. Lakini akisema...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Mshauri wako Mkuu alikuwa Mtu wa hovyo enzi zake unategemea Wewe ndiyo uwe Bora?

    Yaani kabisa Dr Matola PhD awe Boss wangu Himayani na amesfaafu ( na najua aliharibu mno kuanzia mfano mwaka 2005, kisha Mimi GENTAMYCINE nimekalia Kiti changu ( alichokikalia Yeye ) kisha niwe namsikiliza Yeye kwa kila Kitu hata kama ni Pumba na mambo yasiyofaa Himayani. Nitakachokitoa a ni...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi chache uwa hazitangazwi na ikulu au press yeyote wachache ndo tunazijua kulingana na unyeti. R.I.P mshauri Mkuu wa Rais Juu ya Usalama wa Taifa

    Bwana Bernard Camilius Membe, Mtu Maalumu kwa mikakati maalumu kwa lengo Maalumu (Mshauri mkuu wa masuala ya usalama wa Taifa na nchi kwa Jumla) Ni wachache watakao kuwa wanajua nafasi yake ilikuwa ipi Ila kwa kifupi nafasi Kama yake uwa hazitangazwi, zinatangazwa za mshauri mkuu wa masuala ya...
  12. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mshauri wa Sheria na Mshauri wa Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President – Legal Affairs). Jaji Masaju ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Uteuzi huu umeanza tarehe 20...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mshauri wa ndoa nataka kufanywa mchepuko

    Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling...
  15. JamiiForums Tanzania TRAB na TRAT zasababisha TRA ikose kodi ya Tsh. Trilioni 2.8

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema TRA ilipanga kukusanya kodi ya Tsh. Trilioni 20.7 kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2021 lakini ilikusanya Trilioni 17.89 pekee. Upungufu huo ambao ni 14% umetokana na kutoshughulikiwa ipasavyo kwa Madeni na Mashauri ya Kodi ambayo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mtanzania Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Zambia

    Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliano ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana, Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar. Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, Balozi Ombeni Sefue ndiye mshauri Mkuu wa Rais Samia?

    Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu. https://www.linkedin.com/in/ombeni-sefue-73056220/
  18. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kumpata mshauri wa mambo unayopitia?

    Watu wengi huwa tunaomba ushauri kwa watu mbalimbali ili watusaidie pale tunapohitaji, lakini ikitokea tumegombana na wale waliotupa ushauri, tunazikuta siri zetu nje ya hapo. Sasa wewe unatumia njia gani kumpata mshauri anayefaa? Kuna baadhi huwa tunawachukua marafiki kama washauri ila kibaya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Loliondo Facts Check: Mshindani wako anapojigeuza mshauri mwema

    MSHINDANI WAKO ANAPOJIGEUZA MSHAURI MWEMA. LOLIONDO FACTS CHECK SIKU Ukiona Mshindani wako katika jambo mnalishindania anakusauri juu ya kufanikiwa kwako kwenye jambo hilo JITAFAKARI SANA Ushauri wake kweli utakuwezesha kumshinda na kulifukia lengo lako?. Namaanisha HIVII, Siku Yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Mhandisi mshauri mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanzania akutwa kafariki

    Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga. Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…