mshamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundusami

    Mwanamke asiyetoa miguno wakati wa mapenzi ni mshamba na hajui kitu

    Raha ya mapenzi ni miguno na sauti laini kutoka kwa mwanamke , mwanamke asiyetoa miguno hajafundwa uyo na ni mshamba wa mapenzi. Uko telegram watu wananunua video za majamboz si kwamba ni nzuri sana bari zire sauti za kusisimua.
  2. Se Busca

    Nitaoa mwanamke mshamba

    Wazee wa kazi Hamjambo? Mimi kama mimi nitaoa mwanamke mshamba wazee wangu, wanawake wajanja nawaachia nyinyi aisee Unaoa mwanamke anajua kilakitu instagram anajua yeye page zote za umbea amezifollow tamthilia za azam anangalia zote kuanzia saa 10 mpaka saa 6 za usiku, youtube anajua mpaka...
  3. D

    Video Maalum kwa wanaosifia viongozi wanapokosea

    No maneno mob, we sikiza huyo mzee vile anabonga. Points mingi sana "Na mie mtu anayeniikosoa nampenda zaidi kuliko anayenisifia kwa sababu mtu anayekusifia mana yake wewe unakuwa hujui kama unakosea" -Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar
  4. D

    Ni Suala la Muda tu Kabla Mshamba Flani Hajatema au Kutemeshwa Bungo!

    Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji. Kheri ya Karume Day!
  5. Fene

    Aisee Watanzania tunatukana, hivi ni kawaida au?

    Inakuwaje WanaJF Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu Yani matusi hadi fujo, story...
  6. Just Pray

    Askofu Bagonza: Malumbano, MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA 'No reform No election"

    MALUMBANO: MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA. MJINGA: No Reform, No Election. MWEREVU: Hatuna muda wa kufanya Reforms hizo. MJINGA: Tutakusaidia kuzuia uchaguzi ili upate muda wa Reforms. MSHAMBA: Kama una nguvu za kuzuia, zitumie kuzuia wizi wa kura. MJINGA: We mjinga vipi? Mbona unanukia wizi...
  7. ELI COHEN

    Iipofika topic ya Kinjekitile tulimcheka sana na kumuona mshamba lakini hatukujua hata sisi tulikuwa tushapakwa dawa na kuambia risasi zitageuka maji

    Manipulation: Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe. Confusion: Tulimshangaa sana ngwale lakini kuna upande mwingine ulituambia alifanya ushujaa ili ashawishi vijana...
  8. M

    Mambo yatakayofanya uitwe mshamba

    Habari za muda huu, tena. Leo nitaongelea na hili pia. Nina uzoefu mkubwa mno wa kuwa karibu na Watanzania wa hadhi mbali mbali, hivyo mengi nimeyaona na kuyafahamu. Kwa Tanzania, hususani DSM(ingawa mpaka mikoani hii naona inaelekea), watu wanaishi kwa makundi na wengi hufanya vitu vya...
  9. Infantry Soldier

    Kwanini hakuna "Unlimited Data" pasipo kununua kifaa cha ziada (WiFi)?? Au mimi ndio mshamba??....

    Good Afternoon Everyone. Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router?? Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na...
  10. ngara23

    Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

    Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori 1. Kuvaa Yebo na soksi Hapa usiulize sana 2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata kama anaijua Kuna mtu ni msukuma anasalimiwa mwadila akiwa Dar anajibu salama jua huyu jamaa ni...
  11. emmarki

    Unamkumbuka yule binti uliyesoma naye msingi uliyekuwa unamuona mshamba?

    Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha... Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
  12. Chief Kumbyambya

    Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

    Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
  13. ELI COHEN

    Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  14. GENTAMYCINE

    Tuna Wabongo wenye hii tabia ya huyu Mshamba na Mchoyo?

    Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali. Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia? Sinunui huruma. Hutasikia kwamba...
  15. B

    Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

    Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa? Tembea uone vichekesho. Fanya mambo yako ewe...
  16. GENTAMYCINE

    Mwambieni huyo Mgaigai ( Mshamba ) wenu wa Kikongo kuwa Suti huwa haichomekewi anaharibu na anaboa sasa

    Halafu mwambieni kwa huo Upuuzi wake ambao kuna baadhi ya Wapuuzi wanaufurahia Kibiashara anaweza akawa anajifungia Milango ya kupata Endorsements nyingi na Watu serious na akaishia tu kupata hizo Fedha za Magodoro yenye Kunguni na Vyura ndani yake na Kumiliki hilo Gari ambalo anadhani ni lake...
  17. LIKUD

    Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba?

    Mshamba ni nani? Jibu : Mshamba ni mshamba. Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba? Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇 1. Akiwa anatumia True Caller. Unapiga simu kwa Mwnyekiti...
  18. GENTAMYCINE

    Mtaalam: Msidanganyike Kisamvu ni kile kile tu duniani kote ila ukiwa Mshamba na hujui Kuutwanga vyema na Mchi utauona ni tofauti

    Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
  19. TUKANA UONE

    Mimi Ndiye Mshamba au ni Kwamba sifuatilii mambo ya Miziki?

    Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi za kutosha. Ni kitu gani kimefanya huu wimbo mwaka huu umekuwa na umaarufu mkubwa kiasi kwamba watu...
  20. J

    Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
Back
Top Bottom