Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata.
Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5.
Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
Changamoto ya salary scale kwenye mashirika yanayofanya kazi sekta binafsi baadhi Yao wanalipa mshahara mdogo ambao hauendani na salary scale iliyowekwa na Serikali na ni ajira za mkataba.
Hata pale wanapohuisha mkataba mpya badala ya mshahara kuongezeka, unaweza ukabaki pale pale angali...
Anonymous
Thread
binafsi
changamoto
mshahara
sekta
sekta binafsi
serikali
viwango
viwango vya mshahara
Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors.
Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni:
• kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu.
Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
Anonymous
Thread
afya
bila
chuo
dodoma
kati
miezi
mshahara
serikali
Tunapenda magari yenye kila kitu cha kubofya tu... hakuna kuzungusha handle kushusha dirisha nk
...ni kweli yana raha zake. Na sasa wanakazana yajiendeshe yenyewe sisi tuwe abiria, yapo tayari. Kisha watatuletea ya kupaa...
maendeleo yalianza na magari kuwa na computer chip... mafundi na...
Watanzania wanapaswa kujiandaa kwa bei ya juu ya saruji baada ya wazalishaji wakuu kutangaza nyongeza mpya ya bei, hatua inayotarajiwa kusukuma gharama ya rejareja ya mfuko wa kilo 50 zaidi ya Sh18,000 katika baadhi ya masoko.
Marekebisho hayo, yanayoanzia Sh500 hadi Sh650 kwa kila mfuko kabla...
Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
Mambo vipi wakuu?
Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
Ndugu zangu Watanzania,
Aliyekuwa CAG wakati wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Profesa Mussa Assad Amesema ya kuwa Mshahara wake kabla ya Makato ulikuwa ni Milioni 7 . Ambapo Baada ya Makato alibakiwa na Million 5.
Amesifia Nafasi hiyo kwa kusema ni nafasi yenye marupurupu manono,Gari...
Haya ni maneno kutoka kwa USTAZ JUMA MANUSOMA kutoka kwenye page yake ya mtandao wa kijamii Tik tok anasema
"Huu msikiti unaitwa Masjid Shafii. Nimewahi kuwa imamu na sheikh katika msikiti huu kwa kipindi fulani huko nyuma. Nililazimika kuacha baada ya kuona mshahara niliokuwa nalipwa ulikuwa...
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi...
Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa...
Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer.
Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR.
Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
Shirika la kutetea haki za Wafanyakazi wa majumbani la Wote Sawa chini ya Mkurugenzi Mtendaji wake Angela Benedicto, limesema Serikali imetoa tangazo ambalo utekelezaji wake umeshaanza ambalo linamtaka mwajiri aliyeajiri mfanyanyakazi wa nyumbani (house girl) na haishi kwako, umlipe mshahara wa...
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
dar
elimu
elimu msingi
kazi
kituo
kubadilishana
mawasiliano
moshi
mshahara
msingi
mwalimu
natafuta
ngazi
shule
shule ya msingi
tabora
uhamisho
umma
vijijini
vituo
watumishi
watumishi wa umma
wilaya
ELIMU: Elimu ya Msingi
NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C
KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana.
KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni)
MAWASILIANO: 📞 0620282169...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunaomba utusikilize sisi wafanyakazi wa Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) upande wa Tanzania.
Takribani mwaka sasa hatujalipwa baadhi ya stahiki zetu muhimu, ikiwemo mshahara wa mwezi wa nne mwaka 2025, allowance za miezi ya 8, 9 na 10 ya mwaka...
Wakazi wa Jiji la Arusha wamejikuta wakipata adha kubwa ya usafiri baada ya baadhi ya madereva wa daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani wakipinga kile walichodai kuwa ni manyanyaso kutoka Land Transport Regulatory Authority (LATRA). Mgomo huo ulioshuhudiwa leo Jumatatu Mei 25, 2026...