Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,183
- 26,553
Mungu akiombwa uende Mbinguni[Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi], Alah "miungu" ampunguzie adhabu ya kaburi, hivi huwa anasikia na anafuata matakwa yenu?
Mvinyo ni nzuri burudika, Hata Yesu alipandishwa kwenye kilima akaambiwa mji wote anao uona akimsujudia Shetani utakuwa wake!Tangu enzi za Manabii wa kale, watu walitumia mvinyo kuburudika
Useme hakukuwa na klabu kama ilivyo sasa, zingekwepo huenda tungepewa simulizi ya baadhi ya mitume wetu kupigwa chupa na kuuawa kama huyo binti
Apumzike kwa amani mlipa Kodi mwenzetu
Yeye ndio anaamua kupumzika, Mungu ndio unampa hayo maelekezo ampumzishe au innakuwaje/.Pumzika kwa amani Irene.
Ugomvi ndani ya Club/Bar kuwa mjinga kimbia nyumbani..!
Hapo tupo pamoja 👏👏Mvinyo ni nzuri burudika, Hata Yesu alipandishwa kwenye kilima akaambiwa mji wote anao uona akimsujudia Shetani utakuwa wake!
Unamwabie yeye ajipumzishe wakati amekufa?R.I.P bibie
Sisi tujiombee tuwe na mwisho mwema siyo!!kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Umelia sana.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹 hadi mabavu zimeniumaa, ushunguuuu sanaaaa 😭😭😭Umelia sana.
Umebata ushunguu mingira!?🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹 hadi mabavu zimeniumaa, ushunguuuu sanaaaa 😭😭😭
Wapenzi wa za,mani wanahuzunika.Umelia sana.