OkayWanakuja kukubrief.
ndio umapata shavuuHello, hivi TPCSS 1 ni kiwango gani cha mshahara kwa anayefahamu please naomba anisaidie
Na benefits😍zao kama unafahamu nisaidie ahsante
Ndio japokua nafanya kazi private sectorndio umapata shavuu
MasihalaNi lazima ulipwe ? Wewe jitolee uijenge nchi yako
TZS 330,000 na TZS 450,000 kwa mwezi ( kamshahara kaduchu kweli kweli ) ila hiyo ni entry level.. Nenda serikalini kuna secutity la kaziNdio japokua nafanya kazi private sector
He! hata kima cha chini ambayo Ni 500,000 haifiki??TZS 330,000 na TZS 450,000 kwa mwezi ( kamshahara kaduchu kweli kweli ) ila hiyo ni entry level.. Nenda serikalini kuna secutity la kazi
Hiyo ndio takwimu yaonesha hivyo.. Sema serikali madili mengiHe!
He! hata kima cha chini ambayo Ni 500,000 haifiki??
Hapana kwa kweliHiyo ndio takwimu yaonesha hivyo.. Sema serikali madili mengi
C tulishakubaliana mshahara wa chini n 500k, sasa h yako imetoka wapi?TZS 330,000 na TZS 450,000 kwa mwezi ( kamshahara kaduchu kweli kweli ) ila hiyo ni entry level.. Nenda serikalini kuna secutity la kazi
Serikalini bado kuna watu wanalipwa 300,000/=?Laki tatu na ushee
NimeshangazwaC tulishakubaliana mshahara wa chini n 500k, sasa h yako imetoka wapi?
Kweli lakini wale ni shirika la ummaHiyo ndio takwimu yaonesha hivyo.. Sema serikali madili mengi
Ndio ndioSerikalini bado kuna watu wanalipwa 300,000/=?
Sources??Ndio ndio