msemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makebo ushakua msemo maarufu mtaani

    Nilienda dukani kununua mahitaji ya hapa na pale leo wikiend, mara pap kapita boda kapakiza dada anamzigo kama wote, ghafla nikasikia wamama wauza vitafanwa na supu wanasema " YALE MAKEBO YATAVUNJA SPRING ZA BODABODA" Nikatoka pale nacheka sana moyoni kwahyo huu msemo wa Makebo ushakua serious...
  2. JamiiForums Tanzania Msemo wa Sugu ‘matako yenu’ umekaa kishamba sana, aliye karibu naye mwambie aachane nao

    Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake. Kwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO "Gharama za Kumuona Daktari" NI MSEMO ULIOFICHIKA

    Ni ukweli kwamba gharama zinazotajwa ili uweze kuonana na daktari hazijawahi kuwa za daktari na waala daktari hajawahi kuzipokea ila ni gharama ambazo zimewekwa ili kusaidia uendeshaji wa huduma za afya na vitu vingine kwenye kituo husika. Na kama serikali inamaanisha kuwa ni gharama za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi kwenye starehe?

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
  5. JamiiForums Tanzania Msemo unaotrend "mwaga moto kama dragon " 🔥 🔥 kaanzisha nani?

    Naona kitu kidogo huko insta utasikia mwaga moto kwenye comment
  6. JamiiForums Tanzania Msemo "mi nakula bata" ulinifukuzisha kunako dhehebu la sabato miaka kumi (10) iliyopita

    Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao. Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'. Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu. Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili...
  7. JamiiForums Tanzania Bado siku chache sana tumalize mwaka, ni msemo gani uliokubamba mwaka huu 2025

    Wakuu, niko hapa nasoma comment, ni misemo gani au maneno gani yaliyotrend sana huu mwaka.
  8. JamiiForums Tanzania Huu msemo sijawahi kuukubali

    Mfano mtu una mpa mchongo ana ukataa kabisa una mbembeleza una ongea nae vizuri yaan kwa kujaribu kumpanua mawazo atambue ata umuhimu wa ilo jambo ana goma Mwisho yame mshinda mambo ndio ana kuja na kuanza tena kuomba msaada. Na kusema mda ule ujui Mungu kaniepusha na nini? Tuwe wakweli kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  10. JamiiForums Tanzania Huu ukakasi umenikumbusha huu msemo: "Nilipokuwa mtoto nilikuwa masikini ila baada ya muda mrefu wa kufanya kazi kwa bidii mimi sio mtoto tena"

    Maisha yamekuwa corrupted, njia zimekuwa reshaped, yani kila hatua ya uthubutu na ueledi unachoambulia kufuga ndevu na mzunguko wa kifedha ambao ukipata tsh 10,000 muda sio mrefu unarudi kuwa tsh 0 ulio kuwa nayo Ofcourse maisha hayajawai kuwa marahisi, ila maisha ya bongo haya faidishi tena...
  11. JamiiForums Tanzania Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania No reform no Election ndiyo msemo wa taifa 2025

    Hakuna cha 4R Hakuna cha miradi Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi. Bila hivyo Watanzania hawataona tena kama chaguzi ni za huru na haki hata kama watawala watalazimisha huu ndiyo ukweli
  13. JamiiForums Tanzania Tumalize hapa hapa Msemo Maarufu Mjini Kwa Sasa.

    GT Da ila huyu mzee ni kiboko twafa.
  14. JamiiForums Tanzania Huu msemo wa mjumbe auwawi hauna mashiko

    Mbona wajumbe wengi waliuliwa kikatili?
  15. JamiiForums Tanzania Ubaya ubwela umeondoka bila kombe hata moja! R.I.P Tutazamie msemo gani mwingine?

    Mwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana! Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO Ghafla mido ikaibiwa airport! Tukajua hii Man city au PSG! Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale 😂 zee la mikwaju ya penalty!
  16. JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    “Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Chanzo: East Africa TV dakika 30...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari

    Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂 Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

    Wakuu habari ya weekend,,. Vipi mmeshatoka jumuiya??,,Na bahasha za pasaka vipi mlisharudisha wote au kunaa wengine bado mnazo ndani?😃,. Leo buana mama aliniomba tusaidizane kupanga vitu chumbani kwake,. Nimeshangaa kuona eti bado anatunza madaftari yangu ya chekechea😃😆😆,. Kwanza nlivyoona...
  19. JamiiForums Tanzania Trivia: Asili ya msemo "Shamba la Bibi."

    Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta maana yake. Inasemwa kuwa msemo huu ulianza kutumika wakati wa utawala wa Ujerumani. Wajerumani...
  20. JamiiForums Tanzania Asili ya Msemo "Underdog"

    Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya kila siku. Miongoni mwa misemo maarufu inayotumiwa na mashabiki, wachambuzi wa soka, wataalamu, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…