msemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. secretarybird

    Msemo "mi nakula bata" ulinifukuzisha kunako dhehebu la sabato miaka kumi (10) iliyopita

    Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao. Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'. Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu. Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili...
  2. Bawabu wa pili

    Bado siku chache sana tumalize mwaka, ni msemo gani uliokubamba mwaka huu 2025

    Wakuu, niko hapa nasoma comment, ni misemo gani au maneno gani yaliyotrend sana huu mwaka.
  3. Mwachiluwi

    Huu msemo sijawahi kuukubali

    Mfano mtu una mpa mchongo ana ukataa kabisa una mbembeleza una ongea nae vizuri yaan kwa kujaribu kumpanua mawazo atambue ata umuhimu wa ilo jambo ana goma Mwisho yame mshinda mambo ndio ana kuja na kuanza tena kuomba msaada. Na kusema mda ule ujui Mungu kaniepusha na nini? Tuwe wakweli kuna...
  4. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  5. ELI COHEN

    Huu ukakasi umenikumbusha huu msemo: "Nilipokuwa mtoto nilikuwa masikini ila baada ya muda mrefu wa kufanya kazi kwa bidii mimi sio mtoto tena"

    Maisha yamekuwa corrupted, njia zimekuwa reshaped, yani kila hatua ya uthubutu na ueledi unachoambulia kufuga ndevu na mzunguko wa kifedha ambao ukipata tsh 10,000 muda sio mrefu unarudi kuwa tsh 0 ulio kuwa nayo Ofcourse maisha hayajawai kuwa marahisi, ila maisha ya bongo haya faidishi tena...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  7. K

    No reform no Election ndiyo msemo wa taifa 2025

    Hakuna cha 4R Hakuna cha miradi Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi. Bila hivyo Watanzania hawataona tena kama chaguzi ni za huru na haki hata kama watawala watalazimisha huu ndiyo ukweli
  8. The Burning Spear

    Tumalize hapa hapa Msemo Maarufu Mjini Kwa Sasa.

    GT Da ila huyu mzee ni kiboko twafa.
  9. Papillon 1906

    Huu msemo wa mjumbe auwawi hauna mashiko

    Mbona wajumbe wengi waliuliwa kikatili?
  10. MwananchiOG

    Ubaya ubwela umeondoka bila kombe hata moja! R.I.P Tutazamie msemo gani mwingine?

    Mwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana! Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO Ghafla mido ikaibiwa airport! Tukajua hii Man city au PSG! Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale 😂 zee la mikwaju ya penalty!
  11. GENTAMYCINE

    Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    “Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Chanzo: East Africa TV dakika 30...
  12. Sir John Deere

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari

    Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂 Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka...
  13. Leejay49

    Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

    Wakuu habari ya weekend,,. Vipi mmeshatoka jumuiya??,,Na bahasha za pasaka vipi mlisharudisha wote au kunaa wengine bado mnazo ndani?😃,. Leo buana mama aliniomba tusaidizane kupanga vitu chumbani kwake,. Nimeshangaa kuona eti bado anatunza madaftari yangu ya chekechea😃😆😆,. Kwanza nlivyoona...
  14. Lycaon pictus

    Trivia: Asili ya msemo "Shamba la Bibi."

    Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta maana yake. Inasemwa kuwa msemo huu ulianza kutumika wakati wa utawala wa Ujerumani. Wajerumani...
  15. N'yadikwa

    Asili ya Msemo "Underdog"

    Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya kila siku. Miongoni mwa misemo maarufu inayotumiwa na mashabiki, wachambuzi wa soka, wataalamu, na...
  16. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyu

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  17. cold water

    Wanasayansi huu msemo umekaaje?

    Kuna mda natamani kuachana na nilienae maana Kuna huu msemo watoto hurithi akili Kwa wazazi wao,Sasa nikicheki mimi nimeishia kidato Cha nne nilijaribu kumuuliza mwanaume wangu back ground yako ya shule anasema alikua anashika nafasi Sio nzuri ajawahi kuwa bright darasani au nimuache jamani,mana...
  18. Thecoder

    Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  19. Magical power

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  20. Samia atosha tukutane2030

    "Kama huna D mbili huwezi kuelewa" ni msemo unaowapa amani vilaza, tuukemee utaendelea kuzalisha wajinga wengi

    Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu. Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo" Kama huna D mbili huwezi kuelewa" Vitoto vya sekondari watadhani D...
Back
Top Bottom