msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Israel Mbonyi ni msanii wa studio

    Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu. Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city. Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement . Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Mario na Abba meneja wake, wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media

    MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
  3. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Msanii Ashanti

    Msanii Ashanti Anaitwa Ashanti Sheqouiya Hayles maarufu kama "Ashanti" mwanamuziki mkongwe wa RnB kutoka nchini Marekani. Moja kati ya wanamuziki walioacha alama ya dhahabu katika muziki wa Marekani na dunia. Sauti anayo na sura yake ya kimahaba ndio iliyokuwa inawatoa udenda wengi kutamani...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rapper Lil Durk akamatwa kwa mauaji, ni utamaduni wa ovyo wa marapa weusi kuimba muziki wa kuhamasisha uhalifu na wao kuona fahari kuishi maisha hayo

    Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
  5. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Female rapper Sister P (Album Marekebisho)

    FEMALE RAPPER SISTER P ALBUM..MAREKEBISHO. SISTER P . Kasi tulikuwa nayo sisi enzi zile, sasa hivi hakuna anayekuja kwa kasi, huyu (Chemical) anajitahidi kasi sio mchezo bado mapengo yetu yapo makubwa sana sasa hivi fake wengi sana, umarekani mwingi mbwembwe mpaka wanaharibu,” alisema...
  6. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Msanii G LUCK

    Vipi hii historia unaikumbuka. GCB KUNDI LA MUZIKI TOKA MKOANI SONGEA. ________________________ GCB ni moja Kati ya makundi ya mwanzo kabisa Nchini Tanzania kufanya Muziki kutokea mkoani "Songea" GCB ilikua ni kifupisho Cha majina ya wasanii waliounda kundi hilo .. 👉🏿 G-G luck 👉🏿C-Cammy...
  7. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

    Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada. 1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube hulipa pesa ndogo zaidi. Kama unavyoona hapo chini Ikumbukwe Diamond ni kinara upande wa Youtbe...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

    Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
  9. Augustking

    JamiiForums Tanzania Namtafuta msanii wa kuimba

    Habari wana JF Natafuta msichana kijana mwimbaji mwenye mwonekano wa pop anayejua kuimba kwa Kiingereza katika maeneo ya sinza. awe age kati ya 18 - 21. Kuna nyimbo za kingereza ambazo atakuwa anaimba kwenye crowd. NAOMBA TUWASILIANE KWA NJIA YA WHATSAPP +255 759 702 766 nitumie: Whatsapp...
  10. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

    Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje. Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

    Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya viongozi wanaoigiza sauti zao na kuleta mkanganyiko. Msemaji wa familia hiyo ambaye ni mtoto wa sita wa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kushushwa jukwaani kwa msanii akiwa anatumbuiza

    Ni vipi wandugu,niende moja kwa Moja kwenye mada.Juzi kati tumeshuhudia msanii akishushwa jukwaani punde tu baada ya kuanza kuiburudisha hadhira yake.Hili linaleta taswira flani yenye sintofahamu .Cha kujiuliza ni kwamba Je msanii aweza akawa amewakwaza hadhira au hadhira wamejawa tu na stress...
  14. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania MSANII G - SOLO

    Tunaendelea.. Msanii G - solo : Nilikuwa katika Album Yao " Gangster with Matatizo " G.w.m" inaitwa " Mikosi" Album ambayo ilikuwa ina nyimbo kama vile. Side.. A. 1. Yamenikuta Featuring – Mr II 2. Bwana Kidevu Featuring – G Solo (2) & Mc Steav 3. Mguu Nje Featuring – Dolla Soul 4...
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania MSANII G - SOLO

    Tunaendelea pale tulipoishia kwenye kipande kilichopita , mahojiano yangu " Ukwaju wa kitambo na msanii " G solo" Msanii G solo : Kaka yao na wale kina Dada Crew ya " Unique sistes" ilinipa support kubwa sana kwenye upande wa ghalama za usafiri kutoka Dodoma hadi Dar es Salaam, ukaribu wetu...
  16. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Msanii G - solo

    MSANII G - SOLO "Msanii wa Tanzania Gerald Mwanjoka ‘G-Solo’ aliyewahi kurekodi wimbo mmoja na msanii maarufu wa hip hop wa Marekani LL Cool J uliojulikana kwa jina la Hip Hop Is Everywhere.. Pamoja na ule wimbo uliomtambulisha vyema Hapa Tanzania akiwa amemshirikisha msanii Inspector...
  17. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID

    Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
  18. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Msanii Ali Kiba aachia EP yake ya "STARTER The EP"

    “STARTER the EP” Officially Out now Worldwide, Stream on All Music Streaming Platforms, Enjoy!!! Bongo Flava Ndio Fahari Yetu, “STARTER The Ep” iko Hewani Kete ziko saba chaguo ni lako. Enjoy As promised, 20th imefika Let me present to you “Starter The Ep” to you all my beloved fans, Now Out...
  19. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Historia ya msanii Bab Lee

    HISTORIA FUPI YA MSANII BAB LEE KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI WA BONGO FLEVA.. "Bab lee jina langu halisi naitwa "Ally Omary " kiukweli mimi kwenye mambo ya muzuki nimeanza toka mwaka 2000 kwahiyo mpaka sasa nina Takribani miaka 24 katika game hii ya Bongo fleva. Tangu nilipoanza Muziki...
Back
Top Bottom