msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

    Wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga. Wengine wametoka mikoani wamekuja Dar hawana pa kulala wanalala stendi, mitaroni, Kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita, yaani kifupi...
  2. M

    Kuna msanii mwenye sura nzuri kama Frida Amani hapa Tanzania?

    Nakumbuka alipewa kipindi cha kutangaza hip hop Clouds FM, huwa ni siku gani na saa ngapi!?? Nampenda huyu dada ni mzuri jamani, natural lakini hatari na nusu!
  3. Mkubwa Fella adai hakuna msanii anastahili kulinganishwa na Diamond Platnumz Bongo

    Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
  4. Hakuna msanii mwenye pumzi ya kukimbizana na Diamond kiuchumi, biashara zinamlipa kuzidi muziki

    kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
  5. Ni msanii gani wa HIPHOP ni mkali wa Storytelling song

    Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata huko majuu(ulaya) je ni msanii gani ni best kwa Storytelling song kwa mimi msanii wa kibongo...
  6. Huenda hiki alichokitabiri msanii Chid Benz kwa Makonda kikatimia?

    Baada ya waziri wa habari kudai wanasubiri ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa kituo cha runinga cha clouds dhidi ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bw. Paul Makonda imenikumbusha ushauri aliowahi kupewa RC huyo wa zamani na msanii wa kizazi kipya 'Rashid Makwilo' a.k.a 'Chid Benz'...
  7. K

    Hivi mtu anayeitwa Uchebe ni Msanii wa Sanaa gani?

    Last weekend nikiwa na washkaji zangu kiwanja flani hapa mjini,ghafla akatokea mtu mmoja kwenye meza yetu akajitambulisha kuwa yeye anaitwa Uchebe akawa anatuomba tumnunulie bia, tukamuuliza yeye ni nani akatushangaa tu imekuaje sisi hatumjui yeye na wakati ni mtu maarufu sana hapa Tanzania then...
  8. Marioo, Mfalme wa Amapiano Bongo, Ndiye Msanii Bora kwa Sasa, Hajawahi Kutoa Wimbo Mbaya

    Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali. Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa: 1. Dar Kugumu 2. Yale 3. Manyaku 4...
  9. Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

    Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea. Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi. Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
  10. Baada ya kusambaa video ya msanii maarufu kuathiika na madawa, huu ndio ushauri wangu

    Kujificha kutumia madawa ni kama kupanda mnazi chooni, huo mnazi utaota kwa kutumia mikojo na mavi kama mbolea, kuna siku utaonekana bila kificho. Haya madawa aidha uanze kuyatumia mwenyewe, ufundishwe ama kutumia visingizio kwamba ulishinikizwe na marafiki au uliyatumia kuondoa stress, nk...
  11. Nani anamuelewa huyu msanii Grand P?

    Naimani mko buheri marafiki, Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye pesa ndefu sana na anaekubalika sanaa huko GUINEA sababu huwa naona huko u-tube anavyotrend kwa views...
  12. Fashion Kali ya Msanii Barnaba

    Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania. Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
  13. Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile. Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
  14. Muziki wa Tanzania: Wimbo gani ulikufanya kuwa shabiki au kumfuatilia msanii na kazi zake?

    Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja baada ya kusikia mziki mmoja mkubwa sana kwenye moja ya daladala iliyokuwa ikipita pembeni yangu na...
  15. Mbosso ni msanii full package, the next future Star

    Wakuu, Kwa mwanzo huyu jamaa hakueleweka sana alipoingia wasafi tofauti na alipokuwa yamoto. Hata mimi sikuwa namkubali Sana wala kumfuatilia sana ila nimekuja kuona na kugundua huyu ni msanii full package kabisa. Anaimba ngoma za aina nyingi sana, hii tulizana remix aliyoimba na njenje Band...
  16. F

    Yuko wapi msanii Jos Mtambo?

    Shabiki wake nimem miss sana. Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
  17. R Kelly akiri kushiriki Ngono na Msanii mwenzake Marehemu Aaliyah akiwa na umri wa Utoto

    The last pre-trial hearing before R. Kelly's federal sex-trafficking trial begins next week featured a laundry list of what will and won't be heard by the jury, including his secret marriage to then-teenage singer Aaliyah. The outline of the story of Kelly and Aaliyah, who died in a 2001 plane...
  18. Diamond Platinumz tunakushukuru, Umeamsha vijana wengi walioridhika na mafanikio

    Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
  19. Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
  20. Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…