msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. JamiiForums Tanzania Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

    Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki. Picha zake zinanipa shida kubwa sana na sijui how ntarecover na nachokiona. Sikubaliani na hii kitu, wala sitaki pia kuhukumu lakini naamini jamii inaweza kutoa msaada kumtoa huko alipo...
  2. JamiiForums Tanzania Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet. Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Marioo (TotoBad) amekuwa msanii lulu bongo kwa sasa

    Nimepata wasaa leo nikaskiliza album mpya ya barnaba classic. Ni album nzuri kwakweli lakini nilivyofika kwny track aliyomshirisha Marioo, kuna kitu tofauti kabisa nikagundua kwny ngoma hiyo. Yule kijana sasa hivi ni kana kwamba yupo ndani ya beat anaflow nalo kama mawimbi kwny bahari ,anafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Msanii maarufu wa Rwanda, Yvan Buravan afariki Dunia kwa saratani

    Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho. Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu. Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Msanii Tundaman anyang'anywa uanachama Simba

    Baada ya sakata la juzi kuingia la kuingia na jeneza uwanjani msanii tundaman amenyang'anywa kadi ya simba...na haikutosha mo dewji kamuambia asirudie kukanyaga ofisini kwake..
  6. JamiiForums Tanzania Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

    Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hatari sana: Manara kesho kupanda kama msanii ataongea kiaina

    Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI Intelejensia ya NJAAKALIHATARI imegundua kwamba kesho atapanda kama msanii wa mziki yaani back vocalist wa msaniii maarufu...
  8. JamiiForums Tanzania Nigeria: Msanii agoma kumsapoti mwanasiasa kwenye kampeni ili heshima yake kwa kila mtu ibaki palepale

    Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Msanii Rayvanny rasmi aondoka Wasafi

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa, ilianza kama kamchezo kakuigiza kutokupeana support za kupostiana kati ya Rayvan na wasanii wenzake wawasafi lakini utetezi ukawa mwingi, Ikafuata mama yake Boss wa Rayvan kumkatia Behewa Rayvan huko Instagram yaan Mama Dangote kumunfollow Rayvan. Zikaja Event zote...
  11. JamiiForums Tanzania Harmonize kwa sasa ndio msanii pendwa kuliko wote Tanzania na mwenye mafanikio kimuziki. Kuujaza Wembley Stadium Desemba

    Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri. Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza. Na huenda akawa msanii wa...
  12. JamiiForums Tanzania Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol apanga kukata mishipa ya uzazi

    Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto wake wa kwanza. Baraza anasema suala la upangaji uzazi katika ndoa linafaa kuwa la wapenzi wote na...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Msanii Aliyeimba Bongo bahati mbaya hakukosea, Ulaya kuzuri Sana

    Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ? Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko . Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
  14. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii maarufu Bi Hindu amefariki Dunia leo Julai 9, 2022

    Taarifa za huzuni kubwa Msanii mkongwe Nchini Tanzania, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu ametutoka leo Jumamosi Julai 9, 2022 akiwa Magomeni nyumbani kwake. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mjukuu wake huku sababu ya kifo chake ikitajwa kuwa ni maradhi ya muda mrefu. Bi Hindu ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania MFLEX SOUNDS: Wangapi mnamjua huyu msanii?

    Kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda mziki wenye vionjo vya mziki wa old school ila umetengenezwa kisasa Kwa huyu msanii ndo mahala pake ana nyimbo zaidi ya 200. Ila wa kwangu bora wa muda wowote ni, in my arms.
  16. JamiiForums Tanzania Legend Salama Jabir afunguka, " Hajawai tokea msanii wa kike hodari kumzidi Zuchu kwenye bongofleva"

    Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir. Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki, roho mbaya, husda na nyeg*. Tukisema waliotangulia hawamfikii Zuchu kwenye idara zote hatumvunjii...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Msanii wa kabila la Oroqen atengeneza sanaa kwa kutumia gamba la mti wa mbetula

    Msanii wa kabila la Oroqen Bw. Guo Baolin kutoka mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni mrithi wa usanii wa utengenezaji wa sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao ni urithi wa utamaduni usioshikika nchini China. Mke na binti yake pia wanamfuata na kufanya tarizi murua za jadi...
  18. JamiiForums Tanzania Yuko wapi msanii "Mtunis"?

    Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia. Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai...
  19. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa kwendana na kasi ya muziki. Nisiongee sana ila tizameni video hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Waandishi wa nyimbo za maua Sama mturudishie msanii wetu pendwa

    Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na katika hilo sihitaji hata nguvu yoyote kulitetea mana kwa wengi wanaoujua mziki mzuri na melody tamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…