msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali yasema inatekeleza mikakati ya msamaha ya Dawa kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Akili

    Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
  2. JamiiForums Tanzania Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  3. JamiiForums Tanzania Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

    Wakuu habari za weekend? Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 4,887

    Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 4,887, ambapo wafungwa 42 kati yao wanaachiliwa huru leo, na wafungwa 4,845 wanabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobakia baada ya kupewa msamaha. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kusamehe ili upate amani ya nafsi ila husisahau jambo ulio tendwa( forgive but don't forget)

    Hakuna Familia Kamili Hatuna wazazi kamili, nawe pia si mkamilifu, Hatuoi mtu mkamilifu wala hatuna watoto wakamilifu. Tunalalamikiana. Hatuwezi kuishi pamoja bila kukoseana. Mara nyingi tunavunjika moyo. Ndiyo, kwa sababu nyingi tofauti na nyakati tofauti, tunakatishwa tamaa na wenzetu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  7. JamiiForums Tanzania Lissu omba msamaha yaishe!

    1. Kuwa mstaarabu, usishupaze shingo, kiri uliteleza, omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu. 2. Wananchi wamegoma kuibiwa kupitia tonetone, wamechagua maendeleo ya kweli
  8. JamiiForums Tanzania Kama mkeo aliekukosea haombi msamaha na siku zaenda, waweza jisemesha mambo yaendelee?

    Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe. Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman? Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea? Au na wewe utakausha tu hadi...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Simba imuomba msamaha Aishi Manula na mrudishe Golini.

    Jana kilo kapigwa mbili bila ukitazama magoli yote kachomesha golikipa wao wanayemuona namba moja pon pon camera ambaye kiuwezo hamfikii hata robo Aishi Manula. Magoli yote yale huwezi kumfunga Manula. Wanachotaka kufanya Simba ni kumuomba msamaha Manula na kumrudishia namba moja kwenye first...
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu ya msamaha kama tiba ya kweli maishani mwako

    KUSAMEHE NA KUTOLIPA KISASI NI KWA AJILI YA FAIDA YAKO BINAFSI ❤️🌹🍎 Kusamehewa walio tukosea ni jambo gumu sana, ila ni la muhimu sana pia. Ktk hii dunia lazima utakutana na watu wabaya ktk maisha yako.Unaweza kuwatendea mema sana wanadamu,lakini wao watakufanyia mabaya au ubaya kama malipo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump amtaka Trump amsamehe Derek Chauvin muuaji wa George Floyd

    Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
  12. JamiiForums Tanzania Tumeanza kukataana mapema sana! Je msamaha wa madhambi yasiyojulikana umechangia?

    Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena. Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike. Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka wetu wa mwisho machawa kuwekwa kwenye mgao, tusiache hela kizembe. Tutawaomba msamaha tu waTanzania

    Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
  14. E

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Chasambi katukosea heshima wana Simba, atuombe msamaha

    https://www.youtube.com/watch?v=NTfMlQAdvLs Mtangazaji: Katika uchezaji wako wa mpira Chasambi, nani unamtizama kama kioo kwako" Chasambi: Namtizama kama kioo kwenye timu yangu au......? Mtangazaji: Role model wako Chasambi: Kwenye timu yangu Mtangazaji: Akaitikia kwa kutikisa kichwa Chasambi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Russia Vladimir Putin Aomba Msamaha kwa Ajali ‘Mbaya’ ya Shirika la Ndege la Azerbaijan bila Kukiri Kuwajibika

    Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika. Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...
  17. JamiiForums Tanzania Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

    https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria. Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548

    MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na 1526 wanabaki...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

    Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika...
  20. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo "Sijakutuma kuniombea msamaha"

    Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo: akisema: "Sijakutuma kuniombea msamaha," baada ya Kampuni ya Kisheria inayomwakilisha mfanyabiashara Sandaland the Only One, mtengenezaji wa jezi za Klabu ya Simba, kumtumia barua ikimtaka kulipa fidia ya Shilingi Bilioni Tatu. Barua hiyo inadai kwamba kauli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…