msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijaomba msamaha wala sijamtuma mtu kuniombea msamaha

    KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki. “sijaomba msamaha...
  2. JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  3. JamiiForums Tanzania Zitto ajianika alivyotumika jana kumuombea msamaha Mbowe

    Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala? Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hili tumwogope Mungu, tuvue Unafiki. Tumwombe Msamaha Magufuli

    Suala la Corona. Mbona hatusikii Takwimu? Waliosema kuchanjwa iwe lazima kwa wote wapo wapi? Suala la kuvaa barakoa? Hata wapinzani hatuvai. Kipindi kile wakati yupo tulikuwa tumavaa ku prove him wrong. Now hayupo hatuvai. Chanjo zina expire bila watumiaji. Mikusanyiko ipo bila barakoa. Maisha...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani

    Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya kisiasa ya taifa hilo lenye matatizo. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kumuomba msamaha mpenzi wako wakati hujamkosea ni sawa au ni unafiki tu?

    Jamii Forum, mahusiano, hivi kumuomba msamaha mpenzi wako wakati hujamkosea ni sawa au ni unafki tu? Hii haihusiani na maisha yangu acheni umbea sasa [emoji23][emoji23][emoji23] Tuelemishane sasa[emoji1370][emoji1370][emoji1370]
  7. JamiiForums Tanzania Rungwe: Mchungaji aomba msamaha kwa kukataza waumini wake kutumia ARV'S na kusababisha wengine kufariki

    MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Emmanuel Mlundilwa amesema kukosa uelewa wa kutosha juu ya matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya ukimwi (ARV’s), kulisababisha kuwakataza waumini wake kutumia dawa hizo na wakazidi kudhoofu na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Paulo afuata nyayo za Nape, atuma ujumbe kumwombea msamaha kwa aliowakosea

    Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu utafifisha kila hatua aliyowahi kupiga kwenye siasa. Tunajifunza kwa waliofanikiwa,naamu tunajifunza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndoto/maono juu ya hayati Magufuli inatuhitaji tumfanyie maombi ya msamaha na je, inapeleka ujumbe kwa watawala?

    Habari zenu ndugu wana JF, leo usiku niliona maono au niliota ndoto mtu mwenye silaha ya kivita (SMG, AK47) akimnyooshea hayati Magufuli kana kwamba anataka kulipa kisasi na watu wanaoshuhudia wakiwa hawana la kufanya. Baadaye ilionekana kama hayati alifanikiwa kukimbia na yule mtu kumkimbiza...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki msamaha wangu

    Naogopa Sana Iko hivi jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi. Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

    Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu. Ni hivi, "CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana". Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

    Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond. jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama...
  13. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Rais wa zamani Ashraf Ghani aomba msamaha kwa kukimbia nchi

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu. "Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti." Bwana Ghani...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga waombeni msamaha mashabiki

    Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda. Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
  15. JamiiForums Tanzania Njooni tumuombe msamaha Mo kwa yote yaliyotokea

    Ule msemo wa kuwa Siasa haina rafiki au adui wa kudumu naomba leo uhamie kwenye soka! Mimi binafsi naomba Mo unisamehe, niliaminishwa maneno kuwa wewe ni mbaya na jamaa fulani ila leo nimeamini tulidanganywa! Kweli muda ni mwalimu mzuri sana!
  16. JamiiForums Tanzania Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

    Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita 130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan. Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa anaijua zaidi aliyekuwa Waziri wa Afya kipindi hicho na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji ndugu Seif Rashid...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo drone zilizomfukuzisha Lugola na Andengenye? Basi waombwe msamaha

    Kama ndizo drones hizi walizotaka walete wale jamaa wakasiribwa kwelikweli basi waomnbwe msamaha haraka sana maana(siwatetei kwenye ufisadi wao ila kwa hili it was a good idea) kuna siku Kariakoo ile au magorofa marefu yatawaka moto huu mji utaungua wote maana shughuli ya juzi kariakoo...
  19. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari za michezo wagome kwenda kwenye press conference za Manara hadi awaombe msamaha

    Manara amekuwa anawafanyia waandishi wa habari vitendo vya kidhalilidhaji sana. Aliwatukana ni takataka na juzi kati kuna Clip anamfokea Prisca Kishamba kwa makelele. Amekuwa na tabia hii mbaya kwa kujirudia lakini waandishi hawamchukulii hatua, na mbaya zaidi wengine walicheka kitendo...
  20. JamiiForums Tanzania Namuomba msamaha Haji Manara kwa kumpinga aliposema waandishi wengi wa Tanzania ni "takataka" leo EFM radio wamethibitisha

    Wasalaam, Haji Manara aliwakera wengi sana alipo diriki kuwaita waandishi wa habari hasa za michezo kuwa ni "takataka" kwakweli ni maneno yaliyo fikirisha sana wengi na wengi walioneshwa kukerwa sana na kitendo kile cha udhalilishaji kilicho fanywa na haji manara na wengi walitegemea hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…