msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victoire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa kabisa.
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania CCM ya Awamu ya Tano ilisamehe wengi akiwemo Kinana

    CCM mpya ya awamu ya tano haikuishia kuongoza kwenye kuwaletea maendeleo watanzania tu mbali iliongoza pia kwenye kutoa misamaha ya dhati kwa wanachama wake waliofanya makosa mbalimbali kwenye chama kipindi hicho. Miongoni mwa misururu ya wanufaika wa misamaha hiyo ni pamoja na makamu...
  3. Leak

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta Bernard Membe hadi kubadili msimamo wake mpaka kuomba msamaha mara tatu?

    Kipindi cha sakata la Membe,Makamba na Mzee Kinana kuhojiwa na kamati kuu Mh Membe pekee ndiye aliyegoma kuomba radhi kwa chama na viongozi kwa madai kuwa hakuna kosa alilofanya na alisema yuko radhi kufukuzwa lakini kamwe hatoomba msamha! Na kweli Membe alifukuzwa chamani na kukimbilia ACT...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msamaha kwa 'Mwamba' ulikuwa ni wa lazima ili Taifa lipate Misaada ya Fedha nyingi kwa Watoaji wa Kimataifa wasiopenda Uonevu

    Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliosoma na Kubobea katika 'Psychology' kupitia Picha 'Magogoni' ni nani aliomba Msamaha kidogo na nani aliombwa Msamaha zaidi na Kujutia?

    Binafsi nimeangalia Picha Tano ( 5 ) zote nimeona tu Kuna Mtu Sura yake ni ya Utulivu na ya Umakini ila ya Mtu mwingine kila mara anabembeleza, anatabasamu, anataka yaishe, anaomba Msamaha kwa Mikono, mara avae Barakoa na mara aivue na anaonekana Kashukuru kwa Kuutua Mzigo uliokuwa ukimuelemea...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  7. kibenten

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

    Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja. Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30. Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia...
  8. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Hapo vip!! Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani. Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kumuomba mwanamke msamaha sio kosa hata kama hujamkosea

    Nawashauri wanaume wenzangu tuwaombe wake zetu msamaha hata kama wao ndio wamekosa. Ikibidi mfulie nguo zote na uoshe vyombo mbele ya jamii kama mmepanga.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama tutatumia mabilioni Kwa miaka mitano viongozi walewale kuitana na kutuambia AMANI, MSAMAHA NA UZURI wa mtawala, lini tutakaa na wananchi?

    Hii mikutano inayoandaliwa Kila Siku na Serikali inagharimu Fedha nyingi Sana za walipa Kodi. Lakini waudhuriaji ni watu walewale na wazungumzaji ni wale. Dhima ya mikutano hii yote nikuwaaminisha wananchi kwamba Serikali Kuna Jambo inafanya Kwa ajili ya wananchi, wazungumzaji wote wanazungumza...
  11. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Agenda ya ACT-Wazalendo kumuombea Mbowe msamaha kwa Rais

    Shabaha kubwa na ya Makusudi ya ACT-WAZALENDO kumuombea Mhe Freeman Mbowe msamaha kwa Rais amsamehe kuhusu kesi yake ya tuhuma za ugaidi inaonekana chama hiki kwa kujua au kutokujua kinataka kutumika kuisafisha serikali ya awamu ya 6 baada ya kuona kua hii kesi inalitia taifa aibu. Sasa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Sheria haina vifungu vya msamaha wala kuvumiliana. Iweje Rais wa Nchi atangaze misamaha mitatu kwa watumishi wenye makosa?

    Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi! Hili lakutangaza misamaha likoje? Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni! Vipi Kuna kanuni za kusameheana? Kama hazipo kwanini kiongozi...
  13. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Barua ya ushauri: Freeman Mbowe omba msamaha ukajipange na maisha mengine

    KWAKO F.A MBOWE S.L.P GEREZANI Nianze kukupa pole na hongera gerezani siyo mahali salama na pazuri kwako. Nianzi kwa kusema .. Leo kuna kitu nimejifunza juu ya utatuzi wa migogoro hasa katika kipengele cha CONFLICT MANAGEMENT Ili uweze kuendelea na maisha ya furaha pasipo karaha muda...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa deni la TANESCO kwa Zanzibar unazua maswali mengi

    Kama Bilioni 19 za TANESCO walishindwa kulipa hadi Magufuli akaamua kulifuta deni. Je wataweza kulipa hizi bilioni 200 na point za mgao wa UVIKO-19? Pia kuna mkopo wa Trilioni 7 unakuja ambapo mgao wao 21% ni kama Trilioni 1.5, wataweza kulipa na hii? Katiba imetaja jinsi ya kugawana mikopo...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma

    Wanabodi, Karibu, Nipashe ya leo Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Shutuma dhidi ya ndugai zilitakiwa kuibuliwa na bunge, na msamaha ulitakiwa kuombwa kwa bunge na wananchi.

    Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na kama ni kuomba msamaha ndugai alitakiwa aombe huo msamaha kwa bunge au moja kwa moja kwa wananchi...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yatoa msamaha kwa wafungwa wa upinzani

    Serikali ya Ethiopia imesema itawaachia Viongozi kadhaa wa Upinzani, ikiwa ni jitihada za kuleta maridhiano ya kitaifa na kuhamasisha amani. Imeelezwa, Viongozi wa Tigrayan People's Liberation Front (TPLF) watakuwa miongoni mwa waliopata Msamaha huo. Vikosi vya Serikali vimekuwa vikipigana na...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

    Wanabodi, Naomba kuanza kwa declaration of Interest Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wachache waliowahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa maandiko yangu, ya kulituhumu Bunge kujipendekeza kwa serikali, hivyo inaweza kuonekana nafurahia kinachompata Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai!. No...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mbunge Livingstone Lusinde amtaka Spika Ndugai ajiuzulu, asema hata ombi lake la msamaha lilikuwa la uongo

    Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde amemtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu kufuatia kauli aliyoitoa kupinga serikali kuchukua mikopo. Lusinde amesema alianagalia clip yote ya mazungumzo ya Job Ndugai na hakuna sehemu iliyounganishwa ili kumchonganisha na Rais kama yeye (Ndugai) alivyosema...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndugai huu mwaka kaomba msamaha mara mbili kulikoni!!!?

    Alianza kuomba msamaha wakristu wote kwa kumsingizia Yesu kwamba alikuwa na mke,wakristu walimsamehe!!! Mara nyingine kagusa pabaya,,amejaribu kumdharau rais kisa tu ni mwanamke hapa mfumo dume umemponza,,, ameomba msamaha ila naona msamaha umedunda!!! Je,ataomba msamaha kwa lipi tena???
Back
Top Bottom