msaidizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    PI AI msaidizi wako wa kila siku

    Sasa kuna hii inaitwa PI AI, yenyewe ni tofauti na bots nyingine kwa sababu imetengenezwa kukustudy na kujua tabia zako ili iendane na wewe. Mfano ukiandika lugha ya mitaani itakujibu kwa lugha ya mtaani. Ukiandika utani inakujibu utani inatumia na emojis. Tofauti na chatgpt na bardi, yenyewe...
  2. Mabegi yaliyojaa fedha zikiwemo CFA franc, dola na euro yameripotiwa kukutwa katika nyumba ya msaidizi wa Nourredine Bongo, mtoto mkubwa wa kiume wa R

    Angalia mwenyewe hizo fedha zilivyo nyingi kuna CFA franc, dola na euro zimo nyumbani kwa mtoto wa kiongozi wa Rais Ali Bongo aliyepinduliwa.
  3. Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

    Unaenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu, Msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita, hii ni record Simba wameweka. Inshort wameenda Pre Season bila ya kuwa na bench la ufundi.
  4. Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
  5. Samahani, hii Ongea ya Kocha Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco ni Kawaida au Anabwia Poda?

    Mimi kila nikimsikia akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari haraka sana Akili yangu hunipeleka kudhani ( kuhisi ) labda ni Mtumiaji wa Dawa za Kulevya. Ninaomba Radhi Wote kwa hili Swali.
  6. Japan: Waziri Mkuu amfuta kazi mwanawe kuwa msaidizi wake

    Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amechukua uamuzi huo wa kumuondoa mtoto wake ambaye ni Katibu Mkuu wake kutokana na kuonesha tabia mbaya. Hatua hiyo imekuja baada ya picha kuvuja, zikimuonesha kijana huyo, Shotaro akifanya sherehe pamoja na ndugu zake katika ofisi ya Waziri Mkuu huku...
  7. Naomba kufahamishwa kazi ya Katibu Msaidizi wa Bunge Sosholojia

    Habari samahani naomba mnisaidie kujua zaidi kuhusu kazi ya katibu msaidizi wa Bunge sosholojia.
  8. R

    Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

    Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical Niko dar
  9. M

    Ni maswali gani huulizwa kwa nafasi ya Msaidizi wa Hesabu II?

    Wakuu naomba kujua aina ya maswali ambayo uwa yanaulizwa na utumishi kwa kada ya msaidizi wa hesabu daraja la pili both writen and oral.
  10. Msaada-Afisa mifugo msaidizi daraja ii (Livestock officer ii)

    Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
  11. C

    Msiyempenda Kocha Msaidizi Matola bado yupo sana tu Simba SC hivyo mtanuna mno

    Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza siku zake 10 za kwanza darasani na kusema anakisubiri kikosi cha timu hiyo kitoke mkoani Tanga baada...
  12. Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  13. Hatimaye Rapa (Atalaku), (Pitshou Lisimo) wa Wenge BCBG ampata Msaidizi wake Tishio Fusee De Guere

    Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia rapa (Atalaku) Kiongozi Pitshou Lisimo ( jina la Kimuziki GENTAMYCINE ) ila kwa sasa ameshapatikana...
  14. Rubani na msaidizi wa Precision Air iliyopata ajali wamekufa kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika na uokoaji

    Rubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani. Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka. Someone must take...
  15. SI KWELI Simba SC wavunja mkataba na kocha wao Msaidizi, Selemani Matola, leo Oktoba 28, 2022

    Yameibuka madai kwamba Simba SC imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wake msaidizi Selemani Matola. Madai hayo yamechochewa na barua inayodaiwa kuandaliwa na Simba kusambaa mitandaoni.
  16. Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  17. Msaidizi wa Masanja alijiua kwa kukataliwa ombi baada ya kujaribu kumtongoza mke wa bosi kwenye simu, hii inaingia akilini?

    Nimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi kwenda kwenye namba ya mke wa Masanja zilizokuwa zinaonesha msaidizi alikuwa anamtongoza mke wa bosi...
  18. M

    Natangaza rasmi kutoishabikia Simba SC kwa muda na kuisema vibaya mpaka Kocha Msaidizi Matola ang'olewe Simba SC

    Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
  19. M

    Uongozi wa Simba SC tafadhali kama Matola ni Kocha Msaidizi wa kudumu, mtueleze sisi mashabiki

    Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha wengine? Uongozi wa Simba SC tafadhalini sana kama wenyewe kisirisiri kutokana na upumbavu wenu...
  20. Kwa wale tuliofanya paper ya Katibu wa Bunge

    Aisee bora hizi paper wawe wanatunga tu utumishi wenyewe. Kiukweli paper wametunga bunge wenyewe na maofisa wa utumishi wao leo walikua ni wasimamizi wa mchakato tu ila kuanzia materials zilikua na nembo ya bunge. For real sijawahi kukutana na paper ngumu kama hii katika maisha yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…