msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia App ya UTT Amis naomba msaada kwenye hili

    WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu! Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa Sanduku la Posta la RITA wilaya ya Simanjiro

    Wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba Msaada wa Sanduku La Posta la RITA wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara. Mwenye ufahamu naomba anisaidie. Natanguliza shukran.
  4. JamiiForums Tanzania Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

    Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na...
  5. JamiiForums Tanzania MSAADA: Kusaidiana na Ibada

    Tusaidiane 🙏
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta huu wimbo

    Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba, Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana huko google kote hakuna pa kuichukua zaidi tu upo YouTube na mi sitaki, nataka tu ukae kwenye simu...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu guys

    Me sijui kuomba mkopo kwa level ya diploma napitia app gan??
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu guys

    Me sijui kuomba mkopo kwa level ya diploma napitia app gan
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Namna ya kufanya malipo online kwa ajili ya kulipa tutorials

    Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni uelewa msaada

    Ety ndugu zangu naombeni mnisaidie, matokeo ya kidato cha Sita 2024 yanatoka LINI?
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

    Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu? Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata katiba ya kikundi cha wajasiriamali

    Wakuu kwema? Nina imani sote tu wazima. Nina shida na katiba ya kikundi cha vijana wajasiriamali wakuu msaada wenu tafadhali Yoyte anaeweza kunisaidia anipe ishara yoyote kwenye koment chini nitamfata inbox Nb. Ningekuwa na chochote ningebainisha hapa, tusaidiane wakuu
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?

    Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kujifunza ufundi Feni, pasi na redio?

    Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wapi nitapata kioo cha rising tv inch 43 MWANZA?

    Habari wakuu nahitaji KUjua ni wapi naweza kupata kioo cha tv maeneo ya Mwanza!?
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupata Award Verification Number(AVN)...Ni mtandao wangu au Mfumo ndio unasumbua?

    Habari wakuu, Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB. Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua inayofuata ya kupata CONTROL NUMBER nakwama. Sasa najiuliza ni swala la mfumo ndio haujakaa sawa au mtandao...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ayoub Lyanga ni msaada mkubwa endapo Simba mtakuwa naye msimu ujao

    Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa nchini, pale azam amekumbana na akina Kipre junior, Nado, Nk lkn hakuwa chaguo la kocha ila Lyanga ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…