msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  2. Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  3. Msaada wa haraka pesa ipo akaunti ya mahakama

    Wadau wa Sheria,Iko hivi Mimi kama msimamizi wa mirathi,nilifatilia mpaka Hela zikawa zimetumwa kwenye akaunti ya mahakama, warithi wakajaza zile form za mgao,tukambiwa tusuburi Hela zitaingia kwenye hizo akaunti za warithi Swali? Je inachukua muda gani mpaka mahakama kuingiza hizo pesa kwa...
  4. R

    Msaada: Anayejua App au platform ya kufasiri audio to audio

    Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa audio file kwenye lugha nyingine tafadhali nijuze. Thanks in advance.
  5. Msaada wenu wa kimawazo unahitajika sana

    Kwema wakuu Mimi nina mwanamke ananipenda saana yaana sana mimi nakosa Amani kuwa nae kwa sababu kuu 2 Kwanza ni mirefu sana kanizidi mbali she almost 6.3 and I am 5.8 Na pia kwao ni maisha mazuri sana kuliko sisi. Kuna kipindi nilimuambia tuachane akaniuliza sababu nikamuambia akakubali...
  6. Msaada jinsi ya kujiunga na space twitter

    Mjadala wa kesho nataka nisikose
  7. Msaada: Mtoto kutapika damu, amepewa dawa ya vidonda vya tumbo lakini tatizo haliishi

    Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita. Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers). GERD with LPR Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti...
  8. Msaada kuhusu Loan Board

    Mlioanza application za loan board naomba uzoefu wenu maana nimeanza application asubuhi hii lakini mfumo haufunguki
  9. Naomba msaada wa mawazo

    Mimi ni mtumishi wa umma mwandamizi lakini jambo hili limenipita pembeni na nahisi nimeingia kwenye tatizo kuubwa. Niliomba mkopo bank kwa kutumia mfumo wa utumishi. Kabla mfumo haujapitisha mkopo bank wakawa wameshaniwekea kiasi Fulani Cha pesa. Sikujua kama ndo ulikua mkopo wangu au la...
  10. Msaada: Nimefungiwa account yangu ya X(zamani twitter)

    Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau. Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata procedure zao za ku-unlock kwenye account ya X, naona wananizengua tu. Kama kuna mdau yoyote anayejua...
  11. Msaada computer inaniumiza kichwa

    Habari zenu wataalamu Nina PC ya HP mara nilipoogeza tu disk zingine zikawa tatu ikawa kila nikiwasha inaniletea maelezo na maelekezo huku ikitaja na majina ya disk na nafasi zilizomo humo Sasa juzi nikapata muda nikayafatisha jinsi yanavyo elekeza yale maelezo maelezo yenyewe yako kwenye picha...
  12. Mwenye PC iliyovunjika screen please msaada was picha, isiwe imetolewa google please

    Wakuu kama ilivyokuwa kichwa Cha ujumbe hapo juu. Niko under pressure ninatakiwa nifanye presentation kesho mchana na ninajiona kwa kila namna sijakamilisha some infos. Please msaada wenu wanajamvi...picha ya PC iliyovunjika kioo. I hope msaada nitaupata please sio za google nitadakwa.
  13. Msaada tutani wakuu

    Naomba mtu anisaidie kukagua deni la gar namba ya gar ni T698 CUY Naona mtandao umegoma na kifurushi kinabeti leo.... natanguliza shukrani
  14. N

    Msaada kwa walioko Marekani

    Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA, Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo, Nipo serious, Nyumba au sehemu ya kuishi mimi na mke inasnzia $ ngapi, kwa anayejitafuta kama mimi, Umri wangu...
  15. N

    Je, inawekana kutumia matokeao ya kidato cha 2 mwaka 2017 kuendelea na masomo kidato cha tatu?

    Habari wana bord. Kichwa cha habari chahusika. .Nina binti yangu ambaye baada ya kufanya mtihani wa kidato cha pili kunachangamoto ilimtokea hakuweza kuwa masomo licha ya matokeo yake vizuri kwa kujiunga kidato cha 3. Baada ya kurudi katika hali yake ya kawaida, sasa anahitaji arudi shule...
  16. L

    Msaada kwa wataalamu wa meno

    Salaam kwenu, naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
  17. Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  18. D

    Msaada wa kupata vyeti vyangu hususan eneo la Tarime 2024

    Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka Tarime mjini kwenda Sirari Cheti cha Form 4, Cheti cha diploma nursing Transcript yake, Cheti cha...
  19. Naomba msaada namna verification ya Channel YouTube

    Habari za wakati huu wakuu! Nimefungua channel youtube lakini iko limited kupost video zenye urefu zaidi ya dakika 15 kwa sababu bado sija verify. nimejaribu kuverify lakini kila muda ina niambia either hivi. au Naombeni kujua ni fomart gani ya namba youtube wana accept maana nimejaribu...
  20. Msaada kwenye professional qualifications tunaweka nini?

    Natumai hamjambo! Naomba kujua mimi ni mwalimu kwenye kipengele cha professional qualifications tunaweka vitu gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…